JKIA ikitokea sikuhiyo wakenya hawafanyi KaziππWaziri amesema kutua 380 jana ni maendeleo chanya.
Wakati emergency landing kama hakuna alternative unatua hata baharini au barabara ya magari
wewe unafikilia siasa tuππ Huko tulisha tokaππIpo kwenye ilani ya ccm.
Pole pole aliwaambia watue pale jana.
sasa hivi tuko kwenye nini?wewe unafikilia siasa tuππ Huko tulisha tokaππ
Tunaongelea A380! Umesikia jina la mbowe au magufuli ??sasa hivi tuko kwenye nini?
embu tulia huko. tusipangiane cha kupost au kukomenti.Tunaongelea A380! Umesikia jina la mbowe au magufuli ??
Sasa inatua S.Africa tu na ilikuwa inaenda Mauritius sasa huko ni Ulaya?Kwanza umesikia video hiyo ?? Kasema Sub Sahara inatuha South Africa tu. Alternate landing yake kwa Sub sahara ni Dar es salaam Tanzania. Zimbambwe inaenda kumchukua mgabe. Jibu nikuwa alternate landing yake ya emergency ni Dar es salaam Tanzania. Hakuna nchi yoyote ile nyingine. Sikiliza Video.
Sasa Mauritus ni europe? ndege ilikuwa inaenda Mauritius sasa sio sub sahara Africa.Wewe fala kweli yani unampinga alafu unataka mtu akujuzeππ Wewe twambie ni nchi gani nyingine ya sub sahara Africa inatua zaidi ya South Africa. Unapo pinga inabidi uwe na evidenceπ Sio unaandika tuππ
Hahahahahahahahahahahahahahaha, kama maji tu hayapatikani, vipi kuhusu kupata airport imara?, acha kuchekesha watu.Running way ya JNIA ni bora na imara kuliko uwanja wa John F.Kennedy wa New york.Halina ubishi hilo.
Ilikua imeshafika Mauritius, the nearest airport ni Reunion, Madagasca airports, South Africa, Mozambique, na Swarziland, lakini walikuja Tanzania which is about 3000km away from MauritiusUnajua emergency????
Makonda katoka wapi hapaππ Bahati mbaya mimi sio mwanasiasaππ Jukwa la siasa linakufa zaidiππembu tulia huko. tusipangiane cha kupost au kukomenti.
kapimwe na makonda kwanza
Kwani umeambiwa Zanzibar na Kilimanjaro hawafiki ? πEmirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa ππ It seems geography ulizungushaππSasa inatua S.Africa tu na ilikuwa inaenda Mauritius sasa huko ni Ulaya?
Naona mapigo yako ya moyo yamebadilika ghafla ! ππ Hatuna lakuwasaidia. Bakini watazamaji tu ! ππNow that's how Tanzanians reason, enyewe, you're Tanzanians,,,,,
Hawa jamaa wametoa sana povu just because of the A 380Ilikua imeshafika Mauritius, the nearest airport ni Reunion, Madagasca airports, South Africa, Mozambique, na Swarziland, lakini walikuja Tanzania which is about 3000km away from Mauritius
Terminal 3 July inafunguliwa kuifanya JNIA kuwa hub.ππ Kwanza unajua maana ya hub ??Tunachotaka ni kuwa Hub of Africa sio Alternative airports!
Tumebadilisha tone tena, sio sub sahara tena ni mainland. Mauritius kama arab state?Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa ππ It seems geography ulizungushaππ