JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

Waziri amesema kutua 380 jana ni maendeleo chanya.
Wakati emergency landing kama hakuna alternative unatua hata baharini au barabara ya magari
JKIA ikitokea sikuhiyo wakenya hawafanyi Kazi😀😀
 
Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
 
Kwanza umesikia video hiyo ?? Kasema Sub Sahara inatuha South Africa tu. Alternate landing yake kwa Sub sahara ni Dar es salaam Tanzania. Zimbambwe inaenda kumchukua mgabe. Jibu nikuwa alternate landing yake ya emergency ni Dar es salaam Tanzania. Hakuna nchi yoyote ile nyingine. Sikiliza Video.
Sasa inatua S.Africa tu na ilikuwa inaenda Mauritius sasa huko ni Ulaya?
 
Now that's how Tanzanians reason, enyewe, you're Tanzanians,,,,,
 
Wewe fala kweli yani unampinga alafu unataka mtu akujuze😀😀 Wewe twambie ni nchi gani nyingine ya sub sahara Africa inatua zaidi ya South Africa. Unapo pinga inabidi uwe na evidence😀 Sio unaandika tu😀😀
Sasa Mauritus ni europe? ndege ilikuwa inaenda Mauritius sasa sio sub sahara Africa.
 
Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Kwani umeambiwa Zanzibar na Kilimanjaro hawafiki ? 😀
 
Sasa inatua S.Africa tu na ilikuwa inaenda Mauritius sasa huko ni Ulaya?
Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
 
Ilikua imeshafika Mauritius, the nearest airport ni Reunion, Madagasca airports, South Africa, Mozambique, na Swarziland, lakini walikuja Tanzania which is about 3000km away from Mauritius
Hawa jamaa wametoa sana povu just because of the A 380
 
Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
Tumebadilisha tone tena, sio sub sahara tena ni mainland. Mauritius kama arab state?
 
Back
Top Bottom