JNIA is the alternative airport for all Emirate Airlines in Sub sahara Africa.

The alternative airport in sub-saharan coutries is JNIA so land there,over...
 
Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
Yaani sisi tunatabu sana unajibu halafu unakataa jibu kwa kudhani tu. Mauritius ni sub sahara african state kama jibu lako ukileta mambo ya mainland then toa mpaka Madagascar, seychelles sijui Comoro hata Zanzibar
 
Kwa Sub sahara Africa inatua South Africa pekeyake na kwa alternative airport ni Tanzania tu ! 😀😀 Collo na Hamstere mpo ! 😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23] anachekesha huyo jamaa. Kama inatua South tu, hapo Mauritius ilienda kufanya nini?
 
Nasikia Bam contractors wazuri sana kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege lakini kwa swala la JF Kennedy mpelekee hizo story bibi yako😀😀
Toa hoja sio kuleta mambo ya bibi yanaingiaje hapo..
Fuatilia IATA utapata ubora wa viwanja duniani.
 
Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
Unatia aibu ficha ujinga wako.... Madagascar nayo utasema?
 
Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Ati Eldoret? Cargo flights ama? Leta evidence though tunaongelea A380-800 hapa. Utalii ukikua hili dude litaanza kutua pia nchini haswa KIA, JNIA na AAKIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…