Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani sisi tunatabu sana unajibu halafu unakataa jibu kwa kudhani tu. Mauritius ni sub sahara african state kama jibu lako ukileta mambo ya mainland then toa mpaka Madagascar, seychelles sijui Comoro hata ZanzibarMauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23] anachekesha huyo jamaa. Kama inatua South tu, hapo Mauritius ilienda kufanya nini?Kwa Sub sahara Africa inatua South Africa pekeyake na kwa alternative airport ni Tanzania tu ! 😀😀 Collo na Hamstere mpo ! 😀😀
Toa hoja sio kuleta mambo ya bibi yanaingiaje hapo..Nasikia Bam contractors wazuri sana kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege lakini kwa swala la JF Kennedy mpelekee hizo story bibi yako😀😀
Unatia aibu ficha ujinga wako.... Madagascar nayo utasema?Mauritius iko ndani ya sub sahara Africa but nikama Arab state ! Hawako kwenye mainland ya Africa 😀😀 It seems geography ulizungusha😀😀
Wapi wamekosa maji?Maji na uwanja wa ndege vinaingilianaje?Hahahahahahahahahahahahahahaha, kama maji tu hayapatikani, vipi kuhusu kupata airport imara?, acha kuchekesha watu.
More than half of Kenya's population lacks clean water access
Mauritius-bound Emirates Airline flight diverted to Tanzania over bad weather - Xinhua | English.news.cnIlikua imeshafika Mauritius, the nearest airport ni Reunion, Madagasca airports, South Africa, Mozambique, na Swarziland, lakini walikuja Tanzania which is about 3000km away from Mauritius
More than half of Kenya's population lacks clean water accessWapi wamekosa maji?Maji na uwanja wa ndege vinaingilianaje?
Mbona unakurupuka ndugu,umesoma hoja yangu kwa umakini ukaielewa?More than half of Kenya's population lacks clean water access
Uliza Aljazeera usiniulize mimi[emoji115] [emoji115]
This topic is irrelevant but before checking kenyas data tafuta yenu kwanza.....one in six tanzanian has access to clean water..thats is only 17%..kenya 50%..read the painted yellow partMore than half of Kenya's population lacks clean water access
Uliza Aljazeera usiniulize mimi[emoji115] [emoji115]
Wewe una matatizo ya akili sio bure, mimi ninakupa taarifa ya leo wewe unaleta taarifa ya 2004, miaka 15 iliyopita kabla hujavunja ungo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]This topic is irrelevant but before checking kenyas data tafuta yenu kwanza.....one in six tanzanian has access to clean water..thats is only 17%..kenya 50%..read the painted yellow partView attachment 756276
Nyani haonagi kunduleMore than half of Kenya's population lacks clean water access
Uliza Aljazeera usiniulize mimi[emoji115] [emoji115]
thats 2016 may news hauna macho..read the date...Wewe una matatizo ya akili sio bure, mimi ninakupa taarifa ya leo wewe unaleta taarifa ya 2004, miaka 15 iliyopita kabla hujavunja ungo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
More than half of Kenya's population lacks clean water access
Soma hapo kwenye yellow, inasema ni ripoti ya 2004, idiot.thats 2016 may news hauna macho..read the date...
Ati Eldoret? Cargo flights ama? Leta evidence though tunaongelea A380-800 hapa. Utalii ukikua hili dude litaanza kutua pia nchini haswa KIA, JNIA na AAKIA.Emirates na Etihad wote wanaoperate hadi Eldoret na sijawai kuskia wakenya wakijigamba hapa. Enyewe Tanzania munafurahia kuona maendeleo ndogo ndogo ambapo ni vyema. Lakini kubrag to Kenyans about somethings inatia aibu tu.
Etihad cargo iko eldoret twice/thrice a weekAti Eldoret? Cargo flights ama? Leta evidence though tunaongelea A380-800 hapa. Utalii ukikua hili dude litaanza kutua pia nchini haswa KIA, JNIA na AAKIA.
Nahurumia mama aliyekuzaa..Soma hapo kwenye yellow, inasema ni ripoti ya 2004, idiot.
hope u can see Eldoret..Etihad official siteAti Eldoret? Cargo flights ama? Leta evidence though tunaongelea A380-800 hapa. Utalii ukikua hili dude litaanza kutua pia nchini haswa KIA, JNIA na AAKIA.
That is 2012, hata Kiboko ya wakenya uncle Magu hajafikiria kuwa rais, lete za mwaka huu kama niliypkupa uone mambo yalivyo, hapa chezea TZ wewe.thats 2016 may news hauna macho..read the date...