JNIA naweza pata hati ya kusafiria ya muda?

Ila ile hati ya dharura ya kusafiria nikiwa nayo si naweza tumia kusafiri kwa flight?
Sijui kama umeshapata ulichokuwa ukitafuta ila kama bado, nenda kwenye ofisi yoyote ya mkuu wa wilaya. Huwa na maafisa wa uhamiaji pale na ndio haswa hu-deal na issues za temporary travelling document. Jitahidi uwe na viambatanisho vyote kama ulivyoshauriwa huko juu....

Mimi nilienda migration HQ wakani-direct huko na nikapata kikaratasi changu within a few hrs.

And yes....unaweza kusafiria kwa ndege. Cha muhimu iwe ni ndani ya EA Community.

PS
Ikiwa utajaza form online utakuwa umerahisisha zoezi kwa kiasi kikubwa!
 
Assnte sana mkuu nategemea wiki ya kesho nifuatilie nitaanza kujaza form online then nipeleke vielelezo vingine na nilipanga kwenda ofisi za uhamiaji kabisa kama walivyoshauri wadau wengine. Sasa kama ni wilayani ngoja nitafute ofisi za wilaya ya ubungo zipo wapi maana ndo ninakoishi. Au hata Kinondoni/ Ilala naweza enda nikapewa? Maana hizo ofisi zao nazifaham
 
I believe popote ni sawa maana mie walinielekeza niende tu Temeke since sio mbali kutokea pale Kurasini.
 
Kwahiyo hata kama wazazi ni marehemu lazima utafute cheti chao cha kuzaliwa/affidavit?
Yes, lengo ni jema, hata kama umezaliwa Tanzania, ili uwe Mtanzania ni lazima mmoja wa wazazi wako awe Mtanzania. Hivyo kupata birth certificate or affidavit ya mzazi ni lazima kwenye passport. Lakini baada ya Tanzania kuwa na national ID, this process should have been simple kwa wenye national ID, it's enough proof of uTanzania.
P
 
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…