JNIA Terminal III

JNIA Terminal III

Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja

Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa

Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
 
Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
 
Ndio maana northern wana question sana our iq ability . Until tutakapojua nguvu ya habari na athari za kushadadia our domestic differences.

Who the fvck are those northens.questioning our IQ, IQ is bullshit, another nonsense created by whitemen so as to make a black man inferior. Fvck all those northerns.
 
Ni Kishindo cha awamu ya tano..real???
 
Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
Mimi nilishangaa bajeti mpaka ya pili magufuli anatenga bajeti kulipa wakandarasi walioacha miradi Kwa ukosefu wa fedha awamu iliyopita. Sasa aliyelipa pesa si ndio kafanikisha mradi? Watu wana wivu na magufuli, ukiwaambia kama mmeshindwa kumsifia magu waisifu ccm.
Mradi hauwezi ukaenda mpaka mwaka wa 3 wa magufuli halafu useme hausiki, miradi ya kikwete ilitakiwa ikamilike yote mwaka wa kwanza wa utawala wa magu zaidi ya hapo haustahili kuitwa wa kikwete.
Kikwete mwenyewe alikuta miradi ya mkapa kibao mbona haikuwa inasemwa mradi wa mkapa.?
Mradi wowote wa ujenzi ni vigumu kuutenganisha na magufuli kwa sababu alikuwa ndio waziri wa ujenzi.
 
Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja

Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa

Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
Unajua kilichotokea katikati ya ujenzi huo na Magu akahakikisha ujenzi unaendelea? Ni kweli Awamu ya JK inastahili pongezi pia kwa huu uwanja.
 
Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja

Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa

Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
Namkubali sana JPM lakini hii ya kumpa sifa ambazo ni za waliopita sio sawa.
Wasaidizi wanamfanya aonekane anapenda sana sifa zote zije kwake kumbe hajawatuma wafanye hivyo.

JK apewe sifa zake kwa huu mradi.
 
Back
Top Bottom