Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja
Hilo limekuuma sindioBonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja
Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa
Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
Hakuna Vita TanzaniaHakika ikitokea vita utakuwawa kwanza kutoa ramani kwa adui. Unajua dhumuni la hii thread?
Ndio maana northern wana question sana our iq ability . Until tutakapojua nguvu ya habari na athari za kushadadia our domestic differences.Hakuna Vita Tanzania
Ndio maana northern wana question sana our iq ability . Until tutakapojua nguvu ya habari na athari za kushadadia our domestic differences.
Yeah I chuckled at that one.Ni Kishindo cha awamu ya tano..real???
What do you think?Ni Kishindo cha awamu ya tano..real???
Mimi nilishangaa bajeti mpaka ya pili magufuli anatenga bajeti kulipa wakandarasi walioacha miradi Kwa ukosefu wa fedha awamu iliyopita. Sasa aliyelipa pesa si ndio kafanikisha mradi? Watu wana wivu na magufuli, ukiwaambia kama mmeshindwa kumsifia magu waisifu ccm.Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
Nyie wapi mlipojaribu Greenfield terminal?Hapo nayo mmejaribu. Hongera sana
Unajua kilichotokea katikati ya ujenzi huo na Magu akahakikisha ujenzi unaendelea? Ni kweli Awamu ya JK inastahili pongezi pia kwa huu uwanja.Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja
Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa
Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
Namkubali sana JPM lakini hii ya kumpa sifa ambazo ni za waliopita sio sawa.Bonge la uwanja lakin mtangazaji kaharibu kusema kishindo cha awamu ya tano imefikia stage tunadanganya nani asiyejua juhudi za mzee kikwete kuhusu ujenzi huo na ndiyo amejenga huo uwanja
Mi naona anzeni kumsifia kuwa na Uhuru wa Tanganyika umepatikana kwa juhudi zake . huu ujinga sasa
Mh Raisi anajitahid anafanya vizur sikatai ila hii kumsifia zaid inapitiliza sasa
North ndio nani?Ndio maana northern wana question sana our iq ability . Until tutakapojua nguvu ya habari na athari za kushadadia our domestic differences.
Kwa mujibu wa fainensho taimz ni kwamba uchina wananatudai zaidi ya dolari bilioni mbili.Hilo limekuuma sindio
Lakini unajua Jengo hilo lilisimama kwa ukosefu wa fedha!
Magu alipo ingia akatoa fedha
Tatizo lipo wapi
Nguo ya kuzima haisitiri tako.😁 😁 😁 milo mitatu
Inahusu niniKwa mujibu wa fainensho taimz ni kwamba uchina wananatudai zaidi ya dolari bilioni mbili.
Sijakwambia wewe!Inahusu nini