Sista Horn Kombe Masufuri
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 450
- 119
Hongereni πThe day Kenya has a facility like this World will turn up side down!
Wapo Vilaza wachache wasumbufuMie nafikiri si vyema kuleta itikadi zetu za vyama kwny jukwaa la Wakenya,siasa zibakie kule huku tuje kama taifa ,chochote kizuri kinachofanyika katika nchi yetu ni kwa maslahi yetu sote,kuwa chama cha upinzani si dhambi na kuwa chama cha upinzani si kupinga au kubeza kila kitu, kwangu upinzani ni kama watchdog,upinzani utusaidie kutumulikia pale serikali iliyopo madarakani inapopindisha maswala fulani yenye maslahi kwa taifa,ipaze sauti wananchi wote tusikie na isiwe kwa unafiki ila kwa maslahi mapana ya nchi yetu sote.
Asante pia Comrade!!!!blessed!!!Asante sana mkuu.
NDINDA ako fit sana I like photography pia,I mean angles,positioning,focus,timing,look na zaidi picha inapoongea kwa sauti yake,walipaswa kukufungulia gates ili uwe free hapa mazingira yamekunyima haki yako!!!!nakuaminia sana kaka kwa kazi zako murua, Moko!!!!
Hahah kuwekana sawa!!!Wapo Vilaza wachache wasumbufu
lakini tuta dili nao hivyo hivyo
Wakenya wakisema "amejaribu, mmejaribu au tumejaribu" wanamaanisha kufanya vizuri (kwa kiwango cha juu) wakati sisi maneno hayo hayo yanamaanisha kufanya kitu kwa kiwango cha chini.Huko ni kujaribu au kufanya, lazima u belittle ndio roho yako isuuzike.
Looks like a warehouse.
Have you been at Schiphol or Dulles International airport? You couldnt utter this.
Ours will be more beautiful than this meusiums
Unless we're talking of something different and not that warehouse/go-down you are building.
That is an airport design and specifications. They are made up of steel frames and infills of glasses or metal sheets or louvers. Also are not more rised to mezzanine floor.
Take exterior view/elevation of any airport on earth, you will see.
Yetu bado hata hawajaanza kuitumia unazunguka mbaali subiri ganzi ikuingie tufanye incision vizur
Ours will be more beautiful than this meusiums
sasa aerial view ndio utacheka, itisha uone wakiutoroka huu uzi.Looks like a warehouse.
Looks like a warehouse.