JNIA Terminal III

JNIA Terminal III

Mie nafikiri si vyema kuleta itikadi zetu za vyama kwny jukwaa la Wakenya,siasa zibakie kule huku tuje kama taifa ,chochote kizuri kinachofanyika katika nchi yetu ni kwa maslahi yetu sote,kuwa chama cha upinzani si dhambi na kuwa chama cha upinzani si kupinga au kubeza kila kitu, kwangu upinzani ni kama watchdog,upinzani utusaidie kutumulikia pale serikali iliyopo madarakani inapopindisha maswala fulani yenye maslahi kwa taifa,ipaze sauti wananchi wote tusikie na isiwe kwa unafiki ila kwa maslahi mapana ya nchi yetu sote.
Wapo Vilaza wachache wasumbufu
lakini tuta dili nao hivyo hivyo
 
Was at the airport today

IMG_4485.JPG



IMG_4488.JPG



IMG_4488.JPG




IMG_4491.JPG



IMG_4493.JPG
 
Huko ni kujaribu au kufanya, lazima u belittle ndio roho yako isuuzike.
Wakenya wakisema "amejaribu, mmejaribu au tumejaribu" wanamaanisha kufanya vizuri (kwa kiwango cha juu) wakati sisi maneno hayo hayo yanamaanisha kufanya kitu kwa kiwango cha chini.
 
Unless we're talking of something different and not that warehouse/go-down you are building.

That is an airport design and specifications. They are made up of steel frames and infills of glasses or metal sheets or louvers. Also are not more rised than mezzanine floor.
Take exterior view/elevation of any airport on earth, you will see.
 
That is an airport design and specifications. They are made up of steel frames and infills of glasses or metal sheets or louvers. Also are not more rised to mezzanine floor.
Take exterior view/elevation of any airport on earth, you will see.

A beautiful structure is seen from very early.
It's just like that ugly station that was trending the other day from your SGR. Compared to our Nairobi station during construction.
 
Back
Top Bottom