JNIA vs JKIA tuliwaambia

Ndoto hapa. Afadhali ungesema Rwandan airport, wenye denge zinazo paa nchi nyingi ukilinganisha na za Tz., Nigeria na uchumi mkubwa bado hawana ubabe sembuse ldc Tanzania?
Ndiyo bado 16 baada ya hapo hesabu siku 360 za Kenya kuseshwa namba .....kila goti litapigwa Kwa tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto hapa. Afadhali ungesema Rwandan airport, wenye denge zinazo paa nchi nyingi ukilinganisha na za Tz., Nigeria na uchumi mkubwa bado hawana ubabe sembuse ldc Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchumi wa wanigeria ni wakipumbavu usilingnishe na tz hata siku moja labda uhufananishe na Kenya. Ila kama uamini subiri kuanzia mwakani na kuendelea utakuja kukubali wewe mwenyewe. Na kuhusu mambo ya ndege na viwànja vya ndege subiri ndege zetu kubwa Mbili zipo kiwandani zitakamilika mwakani ndiyo tutaanza rasmi kutawala anga la Africa wewe unadhani SA wamefanyia figisu ndege zetu bure?

Ngoja tuanze kutua JKIA ndiyo utajua nguvu zetu lazima airkenya zichanganikiwe
NOTI MAYII WUUUUDIII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto hapa. Afadhali ungesema Rwandan airport, wenye denge zinazo paa nchi nyingi ukilinganisha na za Tz., Nigeria na uchumi mkubwa bado hawana ubabe sembuse ldc Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa Nigeria na Kenya ni sawa sawa na mwanamke mwenye mataako makubwa ila hana Akili ,ana waza wanaume waje wampatie hela Kwa sababu ya takoo wakati uchumi wa tz ni tofauti wa Nigeria karibu wote lagos 72% wanaishi Kwa slum mbovu sana ndiyo maana wanakimbia nchi yao na kuzagaa dunia nzima ,nikama Nairobi 68% wanaishi Kwa slum
Kenya na Nigeria ni nchi za kinyama kabisa viongozi awajali masikini kabisa ila wakenya shukuruni JF maana hizi Kenya vs Tanzania zinasaidia kuamsha hali ya kuondoa mapungufu na kushindana kimaendeleo Kwa pande zote Mbili za nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi zaidi ya $500B ni wakipumbavu kulingana na akili yako finyu? Ama unatumia selective media reports about negatives in Nigeria kuwadharau! Wamewashinda kwa mbali licha ya mapungufu yao! Uchumi wa Tz mzima inakaribiana na GDP ya Nairobi, Lagos imewafunika kabisa!!., in your population percentage ya extreme poverty, mko ovyo! Kabla ya kuropokwa hakikisha uko na facts dhabiti, sio propaganda za ccm na blind patriotism, naelewa unapenda Tanzania, but fungua macho. lwiva,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar is slum watu zaidi ya 90% wanaishi makao duni na maisha ya chini sana, ya kubahatisha, (sub standard living) kwa ulimwengu wa sasa, wengi bado mpo kwa nyumba design ya 1970s. Sasa mtaanza kuimba kibera na Turkana ili kujiomboleza, Kibera's population is only around 200,000, hili baada ya kudhubitishwa iliwauma watanzania kadhaa humu jf. Shughulikia hali yenyu wacha mbwembwe za ki abunuasi. lwiva,
 
Katika nchi ambazo wazungu na wasomi wa dunia wakubwa wanazishangaa Kwa kuziona za kipumbavu yakwanza kabisa ni NIGERIA sasa usinishutumu mimi jiulize sababu
Wewe unadhani kuwa na hela ndiyo kuwa na akili !!??? Pole sana nakuambia katika Africa Nigeria ndiyo nchi ambayo inaongoza Kwa upumbaavu kama siyo utajiri wa mafuta ingekuwa masikini kuliko nchi yoyote duniani Yosef Festo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…