JNIA vs JKIA tuliwaambia

JNIA vs JKIA tuliwaambia

Unajua kwanini ujui huo ukweli ? Wakenya waliokuwa wakija tz toka zamani walikuwa wanaona aibu kuwa ambieni ukweli kuhusu tz ndiyo maana wakenya wengi wamekuwa surprise na mambo mbali mbali kuhusu Tanzania mfano ukifuatilia huu Uzi wa dar vs Nairobi kipindi una anza wakenya walipoteza mwelekeo kwa sababu walikuwa awajui chochote kuhusu dar waka i underestimat na ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi wana I underestimat Tanzania na kukutana na big surprise pale wanapo ujua ukweli ,hivyo hata wewe uwezi kukubali kwa sababu wakenya wanakuja kutibiwa tz wanawaficha ukweli na kutokuwa ambia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache waendelee kuona aibu tu[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wakija tz wanajificha wasijulikane ni watz Ila wachache wanakuja open ,zaidi ya wakenya elfu 3000 wanakuja kutibiwa tz mfano wakenya wanaotibiwa kansa tz ni zaidi ya 200 wanafuata huduma za bure ,tena kama unabisha subiri vyombo vyenu vya habari vitakuja kuwa ambia huu ukweli one day soon

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache waendelee kujificha tu wakisubiria hao wanahabari wawaambue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe sgr tanzania na finacial statements za atcl[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana, wengi wao hapa ni ignorant kupindukia, wanapumbazwa na yale wanaona kwa nje, vigorofa, brt, flyovers, eti dreamliner, yani mambo ya kawaida tu, alafi basi sasa wanaona wamefika, hawajui uchumi sio mere display of things ni data ya productivity[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom