JNIA vs JKIA tuliwaambia

Nobody cares because it's lame!!
 
Huyo kichaa wa Kenya hana hata bando la kuangalia video YouTube kuhusu Nigeria ilivyo nyuma kaisha Na maendeleo watu wanateseka makoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa lumumba haswa, hata kudanganya hamjui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apo kwenye umeme wa Nigerian umezingua sana hawafiki hata 5000MW kingine Tz Ni 1602MW Acha uongo mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Visiting a place at some point is different from always claiming you're at the very place the discussion is about.
 

I welcome you to Nairaland for more discussion on this.

 
Hao wanaokubishia ni wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado unataka fact????
wakenya zaidi ya elfu 3 wanakuja kutibiwa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu tatu, mbna vitu kw ground ni different jomba..
Kuna watu ninafahamiana nao na wana maradhi mabaya mabaya lkn sijaskia hata siku moja wana mahisabu ya kwenda tz kutibiwa...
Wacha mahisabu tu, hata ukiwapa hilo wazo lazima watakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wakija tz wanajificha wasijulikane ni watz Ila wachache wanakuja open ,zaidi ya wakenya elfu 3000 wanakuja kutibiwa tz mfano wakenya wanaotibiwa kansa tz ni zaidi ya 200 wanafuata huduma za bure ,tena kama unabisha subiri vyombo vyenu vya habari vitakuja kuwa ambia huu ukweli one day soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanini ujui huo ukweli ? Wakenya waliokuwa wakija tz toka zamani walikuwa wanaona aibu kuwa ambieni ukweli kuhusu tz ndiyo maana wakenya wengi wamekuwa surprise na mambo mbali mbali kuhusu Tanzania mfano ukifuatilia huu Uzi wa dar vs Nairobi kipindi una anza wakenya walipoteza mwelekeo kwa sababu walikuwa awajui chochote kuhusu dar waka i underestimat na ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi wana I underestimat Tanzania na kukutana na big surprise pale wanapo ujua ukweli ,hivyo hata wewe uwezi kukubali kwa sababu wakenya wanakuja kutibiwa tz wanawaficha ukweli na kutokuwa ambia ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule uzi umewasaidia sn adabu wanayo ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…