komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Waache waendelee kuona aibu tu[emoji1787][emoji1787]Unajua kwanini ujui huo ukweli ? Wakenya waliokuwa wakija tz toka zamani walikuwa wanaona aibu kuwa ambieni ukweli kuhusu tz ndiyo maana wakenya wengi wamekuwa surprise na mambo mbali mbali kuhusu Tanzania mfano ukifuatilia huu Uzi wa dar vs Nairobi kipindi una anza wakenya walipoteza mwelekeo kwa sababu walikuwa awajui chochote kuhusu dar waka i underestimat na ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi wana I underestimat Tanzania na kukutana na big surprise pale wanapo ujua ukweli ,hivyo hata wewe uwezi kukubali kwa sababu wakenya wanakuja kutibiwa tz wanawaficha ukweli na kutokuwa ambia ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app