DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Wanasema umuhimu wa kuku huonekana sikukuu ikikaribia, na ndege huhisi upweke awapo mbali na mwenza wake pengine hata kiota huonekana ukumbi mkubwa akatamani kukaa tu juu ya tawi akiangaza huku na huko labda pengine atamuona mpendwa wake akija.
Siku zote nimekuwa nikiwaza nitapata lini wasaa na fursa ya kukusalimia wewe uliye mpenzi wa moyo wangu @joanal Salamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zote nimekuwa nikiwaza nitapata lini wasaa na fursa ya kukusalimia wewe uliye mpenzi wa moyo wangu @joanal Salamu
Sent using Jamii Forums mobile app