Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kipenzi cha moyo wako alishindwa kuandika jina kwa ufasaha,hata hivyo haujachelewa sana.
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipenzi cha moyo wako alishindwa kuandika jina kwa ufasaha,hata hivyo haujachelewa sana.
Wanasema umuhimu wa kuku huonekana sikukuu ikikaribia, na ndege huhisi upweke awapo mbali na mwenza wake pengine hata kiota huonekana ukumbi mkubwa akatamani kukaa tu juu ya tawi akiangaza huku na huko labda pengine atamuona mpendwa wake akija.
Siku zote nimekuwa nikiwaza nitapata lini wasaa na fursa ya kukusalimia wewe uliye mpenzi wa moyo wangu @joanal Salamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupenda pia babyNakupenda j
Good night