Wenyewe wanacheza piemu tuu.Naona mnaita watoto wazuri.
Nje ya mada.
Ila JF kuna fisi aiseeh hata makanyagio hawayaachi wanapita nayo.
Namtuma njiwa aje Zanzibar![emoji1][emoji1][emoji1]
Siyo fisi,haya ni Mapaka ya JF!Naona mnaita watoto wazuri.
Nje ya mada.
Ila JF kuna fisi aiseeh hata makanyagio hawayaachi wanapita nayo.
Mimi sina churaNamtuma njiwa aje Zanzibar![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mnaita watoto wazuri.
Nje ya mada.
Ila JF kuna fisi aiseeh hata makanyagio hawayaachi wanapita nayo.
Lol .. ngoja na mimi nitafute wakucheza nae huko pm ..haiwezekani nibaki mpweke peke yangu tu wakati wenzangu wanafaidi mema ya nchi
Yani uzi wa january ndio naona leo baada ya kunitag
Kipenzi cha moyo wako alishindwa kuandika jina kwa ufasaha,hata hivyo haujachelewa sana.Yani uzi wa january ndio naona leo baada ya kunitag