Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mbona hata wewe una mguu mzuri tu hapo kwa Avatar[emoji1] [emoji1] [emoji1] au bado hujaukubali![emoji3]Sasa mkuu mwambie wifi aniazime hii miguu yake nami nijaribu kuvaa kimini, maana umetulia balaa, hongera nadhani hata sura itakuwa msupuuuuuu