Tetesi: Joao Mota Maria Kocha Mpya Yanga, Ni Raia Wa Ureno

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Joao Mota Maria ndiye Kocha Mkuu mpya wa Yanga SC, raia wa Ureno.

Kocha Mpya wa Yanga SC Joao Mota Maria anawasili nchini alfajiri ya Oktoba 25, 2025 na ndege ya saa tisa alfajiri, atakuwepo uwanjani mechi ya Yanga SC dhidi ya Silver Strikers.

Viongozi wa Yanga SC tayari wameshaandaa watu wa kumpokea Airport alfajiri ya Oktoba 25, 2025.
 
Hivi Yanga tulishindwa vipi kwa Ibenge halafu Azam wakaweza?
 
Kama ni kweli, basi ni kamali nyingine Hersi anacheza.

Sisi tunamtakia kila la heri tu.
 
Duh kweli Hersi sikio la kufa, kashindwa nini kumrudisha Miloud ambaye hatoitaji kupewa muda kwasababu wachezaji wengi wa Yanga anawajua. Msimu wa tabu sana kwa Yanga huu, ngoja tuone kamali nyingine
 
Nani alikubia Mreno ni mzungu?
Kweli hii inchi inatakiwa kukombolewa tarehe 29..
mtu yeyote mweupe "white man" mwenye asili ya bara ulaya huyo ni mzungu! Mzungu anatofaufautiana na race zingine kwa kimo,nywele nk. Kuna race mbalimbali,indian,arabs,africans,chinese,japanes, Nk
 
Kuna risk kubwa kurudisha kocha mlie achana nae zamani. Atawapanda vichwani ataleta dharau hamtaweza kum control
Hiko kitu ni hapa Tz tu au? Kostadic Papic Kota unamkumbuka? Alirudi mara ngapi Yanga?

Mbona Simba Mgunda anarudi na kuondoka na bado maisha yanasonga?
 
Wanazidi kutoa maboko, wakat Gamond au Miloud wapo,ngojea tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…