Mgunda hua anarudi na impact gani?Hiko kitu ni hapa Tz tu au? Kostadic Papic Kota unamkumbuka? Alirudi mara ngapi Yanga?
Mbona Simba Mgunda anarudi na kuondoka na bado maisha yanasonga?
Ahsante kwa swali zuriMgunda hua anarudi na impact gani?
Aje tu ni jambo la heri. Ila saa 9 usiku sio alfajiriJoao Mota Maria ndiye Kocha Mkuu mpya wa Yanga SC, raia wa Ureno.
Kocha Mpya wa Yanga SC Joao Mota Maria anawasili nchini alfajiri ya Oktoba 25, 2025 na ndege ya saa tisa alfajiri, atakuwepo uwanjani mechi ya Yanga SC dhidi ya Silver Strikers.
Viongozi wa Yanga SC tayari wameshaandaa watu wa kumpokea Airport alfajiri ya Oktoba 25, 2025.
Kwani kabla Gamondi hajaja Yanga ulikiwa unamjua??!Wanazidi kutoa maboko, wakat Gamond au Miloud wapo,ngojea tuone.
Gamondi hatuwezi kumrudisha Yanga ni jeuri mno,Wanazidi kutoa maboko, wakat Gamond au Miloud wapo,ngojea tuone.
Ilikuaje akaondoka? Au alipata malisho mazuri? Je, ukiachana na Motamapembe kuna timu nyingine Africa aliwahi kufundisha?Joao Mota ni coach Mzuri mno
Nilimwona akiwa pale nadhani Motamapembe fc Congo DR
Haji huyo tumemleta Coach Pedro Valdemour SoaresIlikuaje akaondoka? Au alipata malisho mazuri? Je, ukiachana na Motamapembe kuna timu nyingine Africa aliwahi kufundisha?
Ni mzuri kama huyo wa Madagaskar?Haji huyo tumemleta Coach Pedro Valdemour Soares
Coach Pedro Valdemour Soares ni coach mzuri mno amepita Sporting sp, De Augosto na Angola national teamNi mzuri kama huyo wa Madagaskar?
Vipi anayekuja huyo tutamvumilia,halafu sizani kama Gamondi ni jeuri yatakuwa maneno ya watu? Huyo Morihno alikuwa jeuri na kiburi ila alirudi Chelsea pale. Huyo kocha takayekuja lazima kwanza apewe mda yaani tumvumilie, kama akiclick haraka na timu itakuwa vizuri kwetu ila kama ikiwa kinyume chake najua na yy yatamkuta kama yaliyo mkuta mwenzake na timu hizi za Kkoo hazina uvumilivu bali ni wanacho angalia ni output.Gamondi hatuwezi kumrudisha Yanga ni jeuri mno,
Kumrudisha Coach Kwa kumbembeleza ni sawa kumrudia X wako
Kwanza hongera mkuu tumefuzu group stage, ndo lilikuwa jambo gumu Kwa Sasa.Vipi anayekuja huyo tutamvumilia,halafu sizani kama Gamondi ni jeuri yatakuwa maneno ya watu? Huyo Morihno alikuwa jeuri na kiburi ila alirudi Chelsea pale. Huyo kocha takayekuja lazima kwanza apewe mda yaani tumvumilie, kama akiclick haraka na timu itakuwa vizuri kwetu ila kama ikiwa kinyume chake najua na yy yatamkuta kama yaliyo mkuta mwenzake na timu hizi za Kkoo hazina uvumilivu bali ni wanacho angalia ni output.
Tulikuwa na timu nzuri,inacheza vizuri unamuondoa kocha ,kuna watu wanadai pengo la Aucho ila mimi na kataa, Aucho kwa msimu mzima mechi anazocheza hazizidi asilimia sitini, kweli ni mchezaji mzuri sana ,ila still hata hasipo kuwepo bado timu ilikuwa inacheza vizuri. Hata leo tumeshinda ila still bado ile aggressiveness tuliyokuwa nayo msimu uliopita imepungua na timu haina mabadiliko makubwa.