Tetesi: Joao Mota Maria Kocha Mpya Yanga, Ni Raia Wa Ureno

Mliwacheka Simba kwa Debora..na nyie sasa Maria
 
Hiko kitu ni hapa Tz tu au? Kostadic Papic Kota unamkumbuka? Alirudi mara ngapi Yanga?

Mbona Simba Mgunda anarudi na kuondoka na bado maisha yanasonga?
Mgunda hua anarudi na impact gani?
 
Aje tu ni jambo la heri. Ila saa 9 usiku sio alfajiri
 
Shamba la bibi..anakuja kupiga pesa aondoke zake kabla ya Pasaka
 
Ilikuaje akaondoka? Au alipata malisho mazuri? Je, ukiachana na Motamapembe kuna timu nyingine Africa aliwahi kufundisha?
Haji huyo tumemleta Coach Pedro Valdemour Soares
 
Ni mzuri kama huyo wa Madagaskar?
Coach Pedro Valdemour Soares ni coach mzuri mno amepita Sporting sp, De Augosto na Angola national team

Anapenda mpira wa kasi na pasi za usahihi
 
Gamondi hatuwezi kumrudisha Yanga ni jeuri mno,
Kumrudisha Coach Kwa kumbembeleza ni sawa kumrudia X wako
Vipi anayekuja huyo tutamvumilia,halafu sizani kama Gamondi ni jeuri yatakuwa maneno ya watu? Huyo Morihno alikuwa jeuri na kiburi ila alirudi Chelsea pale. Huyo kocha takayekuja lazima kwanza apewe mda yaani tumvumilie, kama akiclick haraka na timu itakuwa vizuri kwetu ila kama ikiwa kinyume chake najua na yy yatamkuta kama yaliyo mkuta mwenzake na timu hizi za Kkoo hazina uvumilivu bali ni wanacho angalia ni output.

Tulikuwa na timu nzuri,inacheza vizuri unamuondoa kocha ,kuna watu wanadai pengo la Aucho ila mimi na kataa, Aucho kwa msimu mzima mechi anazocheza hazizidi asilimia sitini, kweli ni mchezaji mzuri sana ,ila still hata hasipo kuwepo bado timu ilikuwa inacheza vizuri. Hata leo tumeshinda ila still bado ile aggressiveness tuliyokuwa nayo msimu uliopita imepungua na timu haina mabadiliko makubwa.
 
Kwanza hongera mkuu tumefuzu group stage, ndo lilikuwa jambo gumu Kwa Sasa.
Coach mpya atapata utulivu zaidi maana hamna mechi yenye pressure kubwa kama ya Leo
Nadhani mambo mengine tuwaache viongozi wapembue tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…