infact Mkapa yupo kundi moja na kina Sani Abacha, Mobutu na wengine wanatofautiana tu amount walizoiba ila mionyo yao na tamaa zao zinafanana kabisa;
yebo yebo,
haya sasa majungu,hauwezi kumfananisha mobutu 9ngebe ya zabanga)na mkapa hata siku moja,yebo yebo acha chuki binafsi,
pamoja na wizi wa mkapa,mie bado naona kwa jicho na taswira kali ya kwamba Mkapa ndiye rais aliyejitahadi kuweka sera nzuri ya kuinua uchumi na maendeleo.Kina Jk ndio walikuwa wanamkwamisha pamoja na EL,ninaandaa ripoti kamili ili kuonesha kwanini namtetea mkapa na kwanini nasema Mkapa aliangushwa na timu ya wanamtandao..
ni mambo gani matano yebo yebo unafikiri Mkapa alikosea?
Kumfukuza Aliyekuwa mkurugunzi wa PPF mataka-Je akuzingatia maadili ya uongozi?
Kumlazimisha CDF wa kipindi kile Mbona je akuzingatia nidhamu ya jeshi?
Je suala la kuwaondoa Mawaziri walioboronga kipindi chake,Je akuzingatia utawala Bora??
Kuruhusu Kuanzishwa kwa tume ya haki za Binadamu na Utawala,Je Mkapa akuzingatia haki za Binadamu??
Kuhakisha hazina ya pesa ya kigeni inaongezeka,kuuongeza ukuaji wa uchumi ,je Mkapa akuzingatia kukua kwa Uchumi wa Tanzania??
Kuwezesha kujengwa kwa uwanj wa kisasa wa Taifa,Je mkapa AKuzingatia Maendeleo ya soka katika nchi yetu??
ujenzi wa barabara zote na mambo ya Mkukuta,Mkurabita,TAsaf,MMEM Je Mkapa alikuwa ataki maendeleo ya eleimu,afya na Elimu.??si alikwamishwa na watendaje
narudia tena hakuna mtu aliye perfect but Mkapa has done a lot to this country,
naomba kuwasilisha