Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ana miaka 26 tuNadhani onyango ana miaka zaidi ya 40.View attachment 1734462
Kaseja, Nyoni, na yule jamaa wa PrisonNadhani Saido Ntibhanzokiza, nadhani ndio mzee zaidi ktk VPL.
Vv
Kapata jeraha kidogo nje miezi mitatuNadhani Saido Ntibhanzokiza, nadhani ndio mzee zaidi ktk VPL.
Vv
Ukiona hvyo hakuna shaka hao waliobaki ni VIGOLICha ajabu ndio beki Bora!
Kwa hio wewe na umri wako unaofaa mbona ndio BOYA kbsaNi kweli lakini umri umeenda
Kumbe unadhani
PoaNdiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kwa mwanamichezo kuwa na sura kama ya huyo onyango mpe miaka 50+,Mimi si mwanamichezo niko 40+ nikitembea na onyango lazima waseme onyango ni baba au babu yangu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app