Joash Onyango kazeeka

Joash Onyango kazeeka

beki bora Africa acheze league ya Tz?

Lips tu! 👌
Ndio ujue kwa sasa kunautofauti mkubwa sana Kati ya simba na yanga. Simba kuwa mchezaji Bora afrika haioni tatzo na ndiko inakoelekea lakini Yanga bado wako na zile fikra za kizamani kwamba ligi yetu haiwezi toa mchezaji akashindania mchezaji Bora wa afica. Acheni kuokoteza wachezi sajilini wachezaji wa viwango hamtaona tabu kubadili akili zenu kuona inawezekana kutoa mchezaji Bora afrika
 
Kweli
 
Kwa hiyo unatakla kuona watoto wa UMISSETA ndiyo wanacheza, mpira ni kipaji hata kama una miaka 60 ukiweza unakiwasha tu
 
Ni kweli lakini haiondoi kwamba umri umeenda
 
Kumbe?!
FB_IMG_16178827381947193.jpg
 
Back
Top Bottom