Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Watawajadili na wake za wachezaji na familia zao ni suala la muda tu,Utopolo mpaka ifike mwezi wa tano mtakuwa mmeshajadili wachezaji wote wa Simba, wakati mnawajadili wenzenu watakuwa wananyanyua makwapa kubeba ubingwa.