Joash Onyango: Nimeshangazwa na ninayoyaona hapa Tanzania

Joash Onyango: Nimeshangazwa na ninayoyaona hapa Tanzania

Kahata akubali kwamba Tanzania na Kenya ni sawa kulinganisha ardhi na mbingu, kuna tofauti kubwa Sana.
Usikasirike kaka, hayo ni maneno aliyosema Kahata mwenyewe wakati anahojiwe huko kwenu

Who doesn't know how u guys love gossiping about Everyone else especially Kenya.On the other side Kenyans love minding there own business.Life is much easier when u just learn to mind ua own business plz note that
 
Last Kicks of a dying horse [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Musonye ilikuwa yangs na simba zikigoma CECAFA alikuwa anachukia sana maana anajua hela hapati
 
Ni haki wakenya kushangazwa na Tanzania, jionee mapokezi anayopewa mchezaji mpya aliyesajiliwa na kufika kwa mara ya kwanza Tanzania
 
Back
Top Bottom