Job interview @ guest house

Ufualtilie nini sasa! Ya nini kujiumiza roho? pressure ya nini!! We kafanye tu ilimradi nisijue. Just do it and do it safely!
Nikijua, najiweka pembeni!


simaanishi ufuatilie ila ni jukumu lako kujua mkeo anaenda kufanya kazi sehemu ya namna gani
 
jamani si practical? tatizo liko wapi? huyo mume alikuwa anajua mkewe kaomba kazi gani? hiyo pressure kajipa mwenyewe tu.
 

watatutambua kwa matendo yao!!!
 
jamani mbona huyu mama mshamuhukumu labda alikuwa interview ni ya kazi ya hse keeping kwa kweli.....hivyo mume wake aambiwe asije kufa mtu
 
Wanawake wana sura nyingi.
Bila shaka mke wa mshikaji alikuwa anaonyesha tabia njema na uaminifu siku zote za ndoa.
Kumbe ni kicheche aliyekubuhu.
 

Wasiliana na 20% akupe ushauri zaidi
 
Hadi utoke huko chumba mahututi unadhani jamaa bado atakuwa hapo hotelini na mkeo?
Mbona nishaachana na huyo demu mida tu. Sasa hivi najivinjari na toto nyingine kwenye interview ya saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…