Job Ndugai achukua fomu kugombea Uspika

Job Ndugai achukua fomu kugombea Uspika

Namwomba sana mwenyeji MUNGU ili NDUGAI asiwe spika tena wa bunge lijalo la JMT
 
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili...
Prof. Adolf mkenda, wa jimbo la Rombo ,mkoa wa Kilimanjaro, amechukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya spika.
 
Hicho cheo kinamfaa Mtanzania ambaye sio mbunge.
 
Tulia nae kachukua form.Acha wanyoane wao kwa wao.
 
Uspika lazima atokane na Bunge yaani lazima awe Mbunge
Hapana.

Naibu Spika ndoa lazima awe Mbunge; 2015 alipewa ubunge wa kuteuliwa ili agombee unaibu spika, Mwaka huo huo Mabere Marandu aligombea nafasi ya Spika na hakuwa Mbunge
 
Hapana.

Naibu Spika ndoa lazima awe Mbunge; 2015 alipewa ubunge wa kuteuliwa ili agombee unaibu spika, Mwaka huo huo Mabere Marandu aligombea nafasi ya Spika na hakuwa Mbunge
OK sifa ni zipi ili nimuombe mtu akaombe kabla ya SAA kumi leo
 
Back
Top Bottom