GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli binadamu haridhiki na alichonacho
Hawa watu wana hela za kufuru ila bado wanazitaka tu mpaka wanakufa na kuziacha
 
Kweli binadamu haridhiki na alichonacho
Hawa watu wana hela za kufuru ila bado wanazitaka tu mpaka wanakufa na kuziacha
πŸ˜„ na jamaa kitambo alikuwa kwenye mfumo mpaka akaingia uspika...watu wanatoka mbali

Ova
 
πŸ˜„ na jamaa kitambo alikuwa kwenye mfumo mpaka akaingia uspika...watu wanatoka mbali

Ova
Huwa najiuliza kama wana uwezo kwanini wasionyeshe uwezo wao wa pesa?
Hata kuwa na viwanda vya kuajiri vijana 1000

Au wao wakioata hizo hela wanakimbiza kuzisafisha kwa matajiri?

Wanaogopa nini kuwa na viwanda au makampuni makubwa?

Wao wanataka mpaka wajukuu wawe kwenye siasa

Wakati wanaweza kuwaandaa kwenye biashara

Inasikitisha sana
 
Hawa wengine hawawezi
Sana sana labda kujilimbikizia
Mali mijumba nk
Ila ndugai mmbishi kapenya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…