GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pamoja na kumvua Uspika, CCM wameona haitoshi, WANATUMIA WANANCHI KUMTENGENEZEA ZENGWE!, ili jina lisiporudi ionekane ni wananchi hawamtaki!

Kazi kweli kweli
 
Nduga hasomi nyakati? Kuna uwezokano mkubwa akafyekelewa hatua hii kama hahitajiki juu. Angestaafu siasa kwa heshima kuliko kukataliwa
Kabisa......ametoka kwenye nafasi kubwa uspika
Unakuwa mbunge ndomana hata kuchangia hoja hachangiagi

Ova
 
Nyie wajumbe ni noma sana..mnamfanyia spika mstaafu hivyo hadharani pamoja na fimbo yake mkononi hamuogopi😂
 
Back
Top Bottom