GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.

Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.

Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.

Huyu safari atawapiga wapiga kura kwa fimbo, maana safari sio wagombea wenzake wanao mwekea vikwazo Bali wapiga kura wenye kikatio
 
😂😂😂 wajumbe wako sahihi.... Mtu alishawahi kuwa naibu spika, akawa spika kamili.... Hajaleta maendeleo.... Sasa safari hii anataka kuwambiaje wapiga kura.....

Kwa kweli apumzike....😂😂
Alikuwa spika yaani ana uwezo wa kupitisha bajeti ya maendeleo kwenda jimboni kwake bila kupingwa.

Sasa yupo kama mbunge aombe kwa spika hela ya jimboni kwake ili kupeleka maendeleo wananchi wakimchagua tena lazima wakapelekwe mirembe.
 
Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.

Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.

Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.

Huyo Job anatanguliza mbele njaa kama tai. Kwa stahili zake atapata 80% ya mshahara wa "sitting speaker" na mazagazaga mengine maisha yake yote, hatosheki??
 
Ni aibu sana kama asinhegombea angestaafu kwa heshima ila sio hii wanamwambia wazi wazi kuwa hakuna bara bara hapa tumechoka wakati alikua na ushawishi wa kupeleka maendeleo Kongwa hakufanya hivyo wacha wampumzishe kwa lazima tu.
Waafrika wanapenda kuwa vinganganizi!
Ona wakina mzee wa vijisenti wameamua kukaa mbali na mavyeo...
Muda kdg nlikutanaga naye mzee wa vijisenti...olikuwa masaki nlikuwa naingia kwenye ki cafee fulani,nkamuona nkamsalimia nkamwambia mzee vp utarudi jimboni akacheka sana......

Ova
 
Huyu ni spuka
Hivi mbunge mstaafu anakuwa na ulinzi hadi anakufa?

Alikuwa spika yaani ana uwezo wa kupitisha bajeti ya maendeleo kwenda jimboni kwake bila kupingwa.

Sasa yupo kama mbunge aombe kwa spika hela ya jimboni kwake ili kupeleka maendeleo wananchi wakimchagua tena lazima wakapelekwe mirembe.
😂😂😂 Kwa kweli kwa Sasa Hana Cha kufanya.... Akiwa spika alikuwa na nafasi ya kufanya Kila kitu Jimboni kwake....

Unakumbuka marehemu Samwel Sitta alijengaga ka Bunge kadogo Jimboni kwake Urambo?.... Yaani ofisi ya spika Jimboni?.... Noma sana
 
Back
Top Bottom