GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
😂😂😂 wajumbe wako sahihi.... Mtu alishawahi kuwa naibu spika, akawa spika kamili.... Hajaleta maendeleo.... Sasa safari hii anataka kuwambiaje wapiga kura.....

Kwa kweli apumzike....😂😂
Uchawa ulimzidi Kila halfa ya Jiwe ikulu yupo front table, Alijisahau sana uyo jamaa
 
Tunywe mchuzi, nyama ziko chini, achana na mtori... 🤣
_124043_.jpg
 
Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao.

Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini.

Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.

Kwenye hii mikutano usiamini unayoyaona. Kura ni zaidi ha hapo. Wengine hupandikizwa na wapinzanj wao ili wamwaribie
 
Ndugai unavuna ulichokipanda , ulibarikiwa kuwa na nyadhifa kubwa lakini ukasahau kuwa waliokuwezesha walikuwa hao wananchi, ukasahau shida zao na sasa umerejea tena kwao ukifikiri kuwa wameshasahau.

Tafuta shughuli nyingine ya kufanya siyo lazima uwe mbunge. Wapishe na wengine
 
Ndugai unavuna ulichokipanda , ulibarikiwa kuwa na nyadhifa kubwa lakini ukasahau kuwa waliokuwezesha walikuwa hao wananchi, ukasahau shida zao na sasa umerejea tena kwao ukifikiri kuwa wamesahaua.

Tafuta shughuli nyingine ya kufanya siyo lazima uwe mbunge. Wapishe na wengine
Anaweza akapita kiubishi 😄

Ova
 
Sina chuki na Spika mstaafu

Ila ingekuwa busara iwapo asingegombea tena hiyo nafasi ya Ubunge kama ilivyo Kwa mwenzie PM

Hawa wastaafu Kwa mujibu wa Sheria ya Viongozi wa Umma, anahudumiwa na Serikali ikiwemo kulipwa mshahara wa 80% ya Spika aliyepo madarakani hadi Siku anazikwa kaburini

Bila kusahau Walinzi wawili pamoja na huduma nyingine

Sasa kwanini akubali kudharauliwa kiasi hiki

Mbona wenzake tunaishi Kwa kipato cha Kilimo tu na tunaendesha maisha yetu huku tukisubiri kufa

Anahitaji kujitafakari
 
Back
Top Bottom