Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM
Kipindi cha aliyekuwa waziri mkuu ndugu Edward Ngoyai, kuliibuka suala la Richmond, suala hilo lilisitisha miswada yote iliyokuwa inaendelea kujadiliwa Bungeni na ili kujadiliwa wizi uliokuwa umeighubika nchi kipindi hiko
Mh sipika wa sasa, kwa nini anataka kuwafanya mafisadi wapoteze ushahidi?
Bunge kazi yake ni kuishauri na kuisimamia serikali! Serikali imeshaonyesha kukerwa na wizi uliotokea, kwa nini sipika haungi mkono kushughurikia huu wizi na upotevu wa mabilioni ya watanzania?
Kwa utaratibu upi sipika anaoutumia kuwapa miezi sita majizi hawa?
Wabunge, ihurumjeni nchi, pigeni kura ya kumwondoa huyu sipika