Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki.

Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
Ukitaka kumpata mwanamke kirahisi, wewe msifie tu. Kibra ileeee!
 
Kuna la kujifunza, wakija wazenj huwa wanauza maeneo potential kiuchumi na huwauzia waarabu, kwa nini si mataifa mengine? Rejea Loliondo na hili la bandari.
Najiuliza pia huu ukoo unaotawala Zenj una nasaba na hawa waarabu? Kuna umuhimu wa kutafuta taarifa zaidi maana naona inatengenezwa vita huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom