Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja.

Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja?

Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge?

Kama alikwenda Israel, anashindwaje kuhudhuria vikao vya Bunge?

Waandishi wa habari, wasomi, wanarahakati na wanasiasa kwaa ujumla, mbona mko kimya juu ya hili?

Mwenye majibu tafadhali.
 
Kwa kuwatendea haki wana Kongwa, Ndugai angejiuzulu tu na uchaguzi mdogo ufanyike aje mwananchi mwingine atakaye watumikia wana Kongwa.

Kwa NDUGAI hata angekuwa mnafiki namna gani hawezi kuvumilia psychological humiliation ya kukaa viti vya wabunge na kuuliza maswali kwa mawaziri.

Ni bora hata angeomba kwa Rais Samia akawa Balozi kwa nchi zisizo na shughuli nyingi apumzikie huko
 
Ni bora ajiuzulu tu ijulikane moja. Unaweza shangaa analipwa na mshahara na stahiki zingine zote za kibunge.
 
Mkewe RAS Dodoma, yeye mbunge asiyehudhuria vikao ila mshahara na asali zote analamba.
Dawa ni kumvua ubunge na mkewe kumtumbua uRAS waje mtaani tujiajiri.
 
Mahudhurio yake hayamo kwenye TRAB na TRAT, kwaiyo Bunge haliwezi kujadili!
 
Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja.

Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja?

Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge?

Kama alikwenda Israel, anashindwaje kuhudhuria vikao vya Bunge?

Waandishi wa habari, wasomi, wanarahakati na wanasiasa kwaa ujumla, mbona mko kimya juu ya hili?

Mwenye majibu tafadhali.
Kutolewa uspika akiwa Spika ni fadhaa kwake.

Tulia Also ni Spika wa Term moja pia.

Nashauri asijegombea ubunge tena Ili kuepuka fedhea hiyo.

Nami naliona watu wanajiengua Kutoka kikundi kikubwa, na mara baada ya kujiengua wakaanza kuungana Kwa Siri kuunda kikundi Chao Kwa Siri Ili kulipa KISASI.

Acha unabii utimie. Ameeen.
 
Back
Top Bottom