CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwani ameshatoka mirembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaendesha shughuli za chama na majukumu yake kwa ufanisi, hata vikao anahuthuria, kwanini ajiuzulu.Mbona Tundu Lisu hajiuzulu umakamu mwenyekiti wa Chadema?
Kwani lazima aajiriwe? Ajiali mwenyewe na pesa alizoiba wakati akitibiwa India.Kwa kuwatendea haki wana Kongwa, Ndugai angejiuzulu tu na uchaguzi mdogo ufanyike aje mwananchi mwingine atakaye watumikia wana Kongwa.
Kwa NDUGAI hata angekuwa mnafiki namna gani hawezi kuvumilia psychological humiliation ya kukaa viti vya wabunge na kuuliza maswali kwa mawaziri.
Ni bora hata angeomba kwa Rais Samia akawa Balozi kwa nchi zisizo na shughuli nyingi apumzikie huko