Kwa kuwatendea haki wana Kongwa, Ndugai angejiuzulu tu na uchaguzi mdogo ufanyike aje mwananchi mwingine atakaye watumikia wana Kongwa.
Kwa NDUGAI hata angekuwa mnafiki namna gani hawezi kuvumilia psychological humiliation ya kukaa viti vya wabunge na kuuliza maswali kwa mawaziri.
Ni bora hata angeomba kwa Rais Samia akawa Balozi kwa nchi zisizo na shughuli nyingi apumzikie huko