DodomaTZ
Member
- May 20, 2022
- 84
- 118
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa kugombea tena licha ya kutaka kustaafu nae baada ya kuwa mshirika mkubwa wa Ndugai katika matendo yake ya ubabe katika jimbo la Kongwa.
Sasa anawalazimisha na kuwatishia wana CCM wa Kongwa kuwa, lazima wamchague Abedi Mussa kuwa mwenyekiti na Julius Lipupuma kuwa Mwenezi wa CCM wilaya ya Kongwa ili waje kupitisha jina la mkewe Fatma Mganga kuwa mgombea ubunge jimbo la Kongwa 2025.
Pia ameuteka uchaguzi huu wa CCM wilaya kwa kuwalazimisha wasimamizi wa uchaguzi kuwa na box la kupigia kura kila kata tofauti na walivyopanga wasimamizi wa uchaguzi kuwe na box mbili tu. Kwa sasa wanachama wa CCM Kongwa wanaendelea kushuhudia ubabe wa Ndugai kama ule wa mwaka 2015 ambapo alimtwanga mgombea mwenzie fimbo baada ya kuzidiwa sera.