Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwenye siasa zetu sometimes ni kama kwenye mapenzi, ukiondoa kubakwa, lakini kuachia kwa namna nyingine yoyote iwe ni kulazimishwa, kuwa convinced, kushawoshiwa, kuhongwa, kushinikizwa, kubananishwa as long as pichu umevua mwenyewe na miguu umevungua, then ni umeridhia!.Nimejifunza kitu hapa. Katika siasa ya kibepari, hakuna kitu inaitwa kulazimishwa bali kuna kushawishiwa (bila kujali ni njia gani imetumika kufanikisha suala hilo).
Asante Pasco.
Ndio maana tukiwaambia watu humu kuwa Watanzania wataendelea kuichagua CCM milele, mtuelewe!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Kinachofanya CCM ichaguliwe na kuendelea kutawala milele ni CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P