Tetesi: Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma

Nimejifunza kitu hapa. Katika siasa ya kibepari, hakuna kitu inaitwa kulazimishwa bali kuna kushawishiwa (bila kujali ni njia gani imetumika kufanikisha suala hilo).

Asante Pasco.
Kwenye siasa zetu sometimes ni kama kwenye mapenzi, ukiondoa kubakwa, lakini kuachia kwa namna nyingine yoyote iwe ni kulazimishwa, kuwa convinced, kushawoshiwa, kuhongwa, kushinikizwa, kubananishwa as long as pichu umevua mwenyewe na miguu umevungua, then ni umeridhia!.
Ndio maana tukiwaambia watu humu kuwa Watanzania wataendelea kuichagua CCM milele, mtuelewe!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Kinachofanya CCM ichaguliwe na kuendelea kutawala milele ni CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
 
Huu ni ulafi uliopitiliza, maccm yamelaaniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…