ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nongwa za kongwa.Spika wa kwanza kudhalilika kama mtoto mdogo
Alisoma Kibaha na Mbowe πSpika wa kwanza kudhalilika kama mtoto mdogo
Ni dhambi kubishana na mgonjwa aliyekataa kutulia kwenye ndoa yake. Yakamkuta ya kumkuta. Hiyo tu ni adhabu tosha.
Alisoma Kibaha na Mbowe π
Acha ubishi JK, Freeman na Job shule moja madarasa tofauti ππΉπΏKibaha hakuga kiraza. Atakuwa alisoma kishimundu sec school
Basi enzi hizo kibaha ilikuwa kama kishimumdu. Ingekuwa sasa wasingekanyagaAcha ubishi JK, Freeman na Job shule moja madarasa tofauti ππΉπΏ
Ni kawaida kwenye harakati za maisha,unataka mambo yanyooke kama rula anytimeSpika wa kwanza kudhalilika kama mtoto mdogo
Dah. Picha imenikumbusha Lodi lofa, pimbi na sokomoko. Duniani kufanana.My Take
Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai.
View: https://www.instagram.com/p/DI3eUHGsxFW/?igsh=cWV3N3NvYXRkdXVy
Prof Ndumilakuwili πDah. Picha imenikumbusha Lodi lofa, pimbi na sokomoko. Duniani kufanana.
Ww ulisoma wapi?Alisoma Kibaha na Mbowe π
The Highlands Sec School ππΉπΏWw ulisoma wapi?
Mkia wake umeota? Nakumbuka alikatwa mkia huyu!My Take
Chadema mpo? Kuna ujumbe wenu Kwa Ndugai.
===
Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amesema Jimbo hilo kupata ushindi wa 'Cleen Sheet' kila chaguzi zinazofanyika ikiwemo 2020 ni sababu ya eneo hilo kuwa kitovu na ngome ya demokrasia kwa CCM katika mkoa huo.
Ndugai ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania, ameeleza hayo kwa kujinasibisha na ushindi wa kishindo walioupata katika uchaguzi Mkuu wa 2020 huku akisema walifanya vizuri ikilinganisha na majimbo mengine ndani ya mkoa huo.
Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika Kongwa, Mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bara Stephen Wasira aliyekuwa anapita kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho
"Kongwa ni nguzo na tegemeo kubwa la mkoa wa Dodoma, sisi huwa hapa tunashinda kwa 'Cleen Sheet' wajumbe wote wa serikali za Vijiji, Vitongoji vyote, wenyeviti wote, Madiwani wote Mbunge ndiyo usipime," amesema Ndugai huku akishangiliwa na makada wa chama hicho waliokuwa wakisema mitano tena.
Kulingana na Ndugui aliyekuwa akishangiliwa na makada wa CCM muda wote wakati anaongea amedai kutokana na morali waliyonayo kikubwa wanasubiri uchaguzi wa Oktoba 2025
Source: Nipashe
HersiGSM mbunge jimbo jipya Kibaigwa