Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Ama kweli Tundu Lissu anawanyima raha!
 
Huu ujinga sijui mtaumaliza lini.mna wazazi na ndugu masikini vijijini na hamjawahi kuwakumbuka kwa michango,eti leo mkamchangie mtu mwenye uwezo na yuko huko Ilaya
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kama kweli mshahara wa Tundu Lisu utazuiliwa baada ya mbunge huyo kumaliza tu mahojiano luningani yaliyomshirikisha pia mwakilishi wa Rais balozi Masilingi, basi bungeni labda kuna mambo hayako sawa.

Siamini kama Katibu wa bunge anaona huu ni wakati muafaka wa kusimamisha mshahara wa Lisu kwa sababu hii inampa uwanja mkubwa Tundu kwa kumuongezea vitu vipya vya kuongea.

Lakini sioni sababu za msingi za kuutangazia umma pale mshahara wa mnunge au mtumishi unaposimamishwa kwa sababu yoyote ile.

Zitto aliwahi kufukuzwa bungeni wakati wa Buzwagi na ndio akazidi kuwa maarufu.

Tusifanye maamuzi kwa jazba na kisiasa
Maendeleo hayana vyama!
 
Bunge la Tanzania kabla ya kusitisha mshahara wa Lissu ni sharti lijiulize yafuatayo:-
1 -Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

2 -CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

3 -Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apewe taarifa ya daktari kama nani? Kwani yeye ndiye aliyempeleka? Kwani yeye ndiye aliyemlipia gharama za hospitali?
Kama spika ndio kiongozi wa wabunge wote au ulijui hilo mkuu?

Ufikili kwanini amekuwa mandate ya kum alert uyo jamaa yenu kwamba arudi kazini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia lazima ihabarishwe kuwa,
1.Tz kuna watu wanajitangaza kuwa ni wazalendo. Sifa yao kuu ni ukandamizaji wa haki za wananchi na kuondoa uhai wa wanaowakosoa kwa kuwaambia ukweli.
2.Tz, kibali cha Mbunge ILI aweze kulipiwa matibabu na mhimili wake, (KUMBE) kinatolewa na Rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…