Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Mnaomtetea ka vile anaonewa mbunge lissu.. ka mna kazi fanyeni kama yeye basi.. si mnapenda kumshabikia.. eeeeeh

Mashabiki koko kokolo
 
Mnalipa na nani?
Mimi acha Tundu Lissu atumie kodi yangu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa kuliko kodi yangu inunue wabunge na kurudia uchaguzi acha Tundu Lissu aitumie hata kwa kiwenda kwenye club za starehe mimi sawa tuu. kuliko kodi yangu itumike kumlipa JIWE bora hiyo kodi itumike kumlipia Tundu Lisu acha aile vizuri tuu... tena kwa raha zake
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari. #GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718
Nimefurahi sana, yaani wamkatie mshara, wamshitaki kwa utoro kazini afungwe!
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari. #GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718
Nadhani he is prety aware of such moves! and more will come! And do not be surprised him to be declared "persona non grata"! I guess he is prepared for them!
 
spika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilamwezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
 
Tuone sasa kama hawa makamanda uchwara watamchangia pesa ya kujikimu. Da'Mange mwenyewe ilibidi afunge akaunti yake gofundme.com baada ya makamanda kuuchuna.
 
Bunge la Tanzania kabla ya kusitisha mshahara wa Lissu ni sharti lijiulize yafuatayo:-
1 -Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

2 -CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

3 -Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
This is Court room not Bunge admin. material facts, and therefore make irrelevant contribution to the latter.
 
Unataka aje wammalizie???

Akija ujue ndio mwisho wa hizo jinga mbili jiwe na andunje

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huoni kuwa kama ni hivyo kuwa hatarudi sidhani ni sahihi kuendelea kupokea mshahara kwa kazi asiyoifanya na ambayo hana mpango wa kuja kuifanya tena ;

Na pia kama hatarudi sio vyema kuliacha jimbo likiwa halihudumiwi.
 
Tuone sasa kama hawa makamanda uchwara watamchangia pesa ya kujikimu. Da'Mange mwenyewe ilibidi afunge akaunti yake gofundme.com baada ya makamanda kuuchuna.
Jengeni basi daraja lingine la Mfugale mlibatize jina la flyover.
 
spika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilawezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
Lissu mimi Niko tayari kila mwezi nitoe elfu 10 kwa ajili yake

Lissu ni hazina ya viongozi wa nchi hii

Lissu ni mzalendo kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom