cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mnaomtetea ka vile anaonewa mbunge lissu.. ka mna kazi fanyeni kama yeye basi.. si mnapenda kumshabikia.. eeeeeh
Mashabiki koko kokolo
Mashabiki koko kokolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi sana, yaani wamkatie mshara, wamshitaki kwa utoro kazini afungwe!Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari.#GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718
Nadhani he is prety aware of such moves! and more will come! And do not be surprised him to be declared "persona non grata"! I guess he is prepared for them!Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema kuna haja ya kusimamisha mshahara wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa sababu hayupo bungeni, jimboni kwake wala hospitalini, na hajapewa taarifa zozote na daktari.#GlobalHabariUpdates.
View attachment 1015718
Hivi na wewe unaamini hizo pesa ni za serikali?Sawa kabisa.Hawezi kuendelea kuidhalilishi nchi na serikali halafu serikali hiyo hiyo anayoidhalilisha na kuisaliti imlipe mshahara.Ale jeuri yake.
Na kwa taarifa yako kutembelea magongo itakuwa ndo maisha yake either moja au yote mawili...tayar kashakuwa mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela wanazolipwa Wabunge zinatoka wapi,tupe taarifa basi mkuu,inaelekea sisi wengine hatujui.Hivi na wewe unaamini hizo pesa ni za serikali?
Na hiyo serikali inatoa wapi hizo fedha?Hela wanazolipwa Wabunge zinatoka wapi,tupe taarifa basi mkuu,inaelekea sisi wengine hatujui.
This is Court room not Bunge admin. material facts, and therefore make irrelevant contribution to the latter.Bunge la Tanzania kabla ya kusitisha mshahara wa Lissu ni sharti lijiulize yafuatayo:-
1 -Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
2 -CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
3 -Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huoni kuwa kama ni hivyo kuwa hatarudi sidhani ni sahihi kuendelea kupokea mshahara kwa kazi asiyoifanya na ambayo hana mpango wa kuja kuifanya tena ;Unataka aje wammalizie???
Akija ujue ndio mwisho wa hizo jinga mbili jiwe na andunje
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengeni basi daraja lingine la Mfugale mlibatize jina la flyover.Tuone sasa kama hawa makamanda uchwara watamchangia pesa ya kujikimu. Da'Mange mwenyewe ilibidi afunge akaunti yake gofundme.com baada ya makamanda kuuchuna.
Lissu mimi Niko tayari kila mwezi nitoe elfu 10 kwa ajili yakespika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilawezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
Safi sana, hiyo haitoshi hata deni la gari/ hela alipe pia na alipe sasa hivi!
Khaaa!Nimefurahi sana, yaani wamkatie mshara, wamshitaki kwa utoro kazini afungwe!