Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Hawajui kumpiga chura teke ndiyo kumuongezea mwendo
In God we Trust
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.

Hana muda wa kwenda kukaa kwenye bunge dhaifu.
 
mungu hamtupi mja wake,alimvusha ktk bonge la umauti na pia atamvusha ktk hili
 
Spika kuchukua ushauri wa mbunge kilaza kama msukuma ni aibu kubwa sasa kumbe waukumu wengi ndiyo walishiruki kumpiga Risasi ili akienda huko baadae wadai ni mtoro
 
Plan A ya kummaaliza imeshindaka...

Hiyo sasa ni plan B, ya kumlaza njaa...

Hiyo inaitwa Kill Me Softy...


Cc: mahondaw
 
Duh siamini Kama haya ni maneno au mawazo ya kutoka kwa msimamizi wa Muhimili mkubwa
 
Hujui hata kununua vocha tayari umelipa kodi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.


Misuli mshauri spika wampore kabisa Lissu mshahara, ubunge nk, na ikibidi wamdai hata hela alivyolipwa toka enzi za JK lakini ukweli ni kuwa jiwe ndiye aliyeagiza ashambuliwe. Tuko sisi tuna maisha mazuri na hatujawahi kuwa wabunge na wala hatutaki, itakuwa huyo Lissu mwenye elimu yake?
 
Weee mjazeni upepo tu na lissu awezi kukataa pesa angekuwa hana shida angezirudisha pesa maana akuzifanyia kazi.


Sent using Jamii Forums mobile app

Nani huwa anarudisha hela? Kwani wote waliowahi kuwa wabunge baada ya ubunge walikufa? Lisu alikua na maisha mazuri hata kabla ya huo ubunge. Ubunge kitu gani bana? Tena bunge lenyewe hilo la makondoo.
 
wapenda haki tutamchangia Lissu ili mradi tunajua anachofanya ni haki yake na ni haki kwa sisi wapenda haki
 
Ndugui ni mshamba mwenye roho ya umaskini asiye na uwezo wa kutafuta hata TZS 1m nje ya ubunge. Kutokana na akili yake finyu na roho ya umaskini na ufukara wa kichwani, anadhani mtu akinyimwa mshahara wa ubunge, ndiyo mwisho wa maisha.

Pesa anayolipwa yeye andunje, jiwe na TL, sisi ndio tunaotoa, yeye hachangii hata shilingi moja, ni ya sisi tunaolipa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani huwa anarudisha hela? Kwani wote waliowahi kuwa wabunge baada ya ubunge walikufa? Lisu alikua na maisha mazuri hata kabla ya huo ubunge. Ubunge kitu gani bana? Tena bunge lenyewe hilo la makondoo.
Kumbe hana shida sasa angepotezea hata kulalamika kama bunge alikumpa pesa za matibabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…