Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa........ alete wapi?ndo alete sasa.
SPIKA NDUGAI NA PAULO BILA SHAKA.Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Maendeleo hayana vyamaMkuu Lumumba wamekufanya nn? Au nawe umesimamishiwa malipo...
BUNGENI KUNA KAZI INAENDELEA?UZWAZWA TUNasikia aliandaliwa risala, sijui alipelekewa? Au ilihifadhiwa kwenye Hansard.
Akishamaliza kipimo chake cha kumbukumbu na uvumilivu wa kusafiri na kukaa bila ya kutegemea msaada wa vifaa, ataruhusiwa kurudi.
Hadi hela zetu mnatupangia cha kufanyaHuu ujinga sijui mtaumaliza lini.mna wazazi na ndugu masikini vijijini na hamjawahi kuwakumbuka kwa michango,eti leo mkamchangie mtu mwenye uwezo na yuko huko Ilaya
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Mambo mengine ni kama watu wanafanya makusudi ili kuivuruga serikali!Mkuu hauna jinsi unaweza kuwashauri? Inaonekana wamefikia mwisho wao wa kufikiri
Inaonesha unafurahia sana madhara aliyoyapata ,Kaka tema mate kumbuka unazaa na mwanao aweza kuwa mpinzani au hata shoga tuKashapona yule kwa madhara aliyopata kutembelea magongo itakuwa ndo maisha yke. Asisingizie kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P Dad; huyo mzee hakuwa mzembe kama tobo kisu ambaye kaamua kufanya TV uwanja wa kuonesha uzembe wake.Wabunge wa ccm waliopo bungeni wanafanya kazi gani
Kutunga sheria za kuwaumiza walipa kodi?
Mnaomba report ya daktari kwa lipi mlilomfanyia
Let the man speak out. Ulimwengu ujue the whole truth
Ungebutuliwa wewe au baba yako ungefanya anayoyafanya Lissu
Mmekosa utu hayawani nyie! Mnatia kichefuchefu
Mi nitatoa 100,000/= kila mwezi!spika na serikali wapanga figisu zingine kumkwamisha kijuku watume ndugu Tundu Lisu kwa kumyima haki yake mshahara.
Wananchi wote wapenda amani na wazalendo waaza harakati za kumchangia kilamwezi 1000 ili ndugu Lisu aendele na matibabu na harakati za kuwapambania wanyonge mchango huo uta anza rasmi atakapo futiwa tu mshahara wake.
Tuta pambana kwa hali yoyote mpaka tufike
Boss wee ni Fala [emoji16][emoji85]Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Hata shilingi elfu moja moja kila mwezi tuko wengi sana. Lissu mtaji wako ni watu.
Long live the honarable Lissu.
Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
mi nadhani hata lizochukua adaiweNi kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..
Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.