Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Taarifa gani wewe unahitaji zaidi labda? Inamaana wewe hujui lisu kashambuliwa kwa risasi? Tena akiwa anatokea bungeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika ni mtumwa, yeye na wasiojulikana hawana tofauti.
Go Go TL.
 
speaker anabwabwaja sana, ni kama anajaribu kumtisha....na wasichojua ni kwamba wanavyozidi kumtisha TL na yeye ndio anavyozidi kupata nguvu ya kuendelea.

go go TL
Bwege sana huyo......mmeshindwa kummaliza kwa risasi 32!Mkamnyima matibabu mkadhani atakufa.... sasa mnamnyima mshahara....mnapoteza muda. Tutamchangia mshahara na ataendelea kuwatesa mpaka mnyooke.
 
Hivi huyu Matonya Ndugai alipolazwa INDIA miezi 6 mshahara wake ulisimamishwa kwa vile hakuwa jimboni?
Nduagi ni sawa na Intarahamwe ambao kazi yao ni kuchokora na kuchonganisha watu ili waanze kuuana. Huyu Spika hana tofauti na wale waganga wa kienyezi wanaopiga RAMLI CHONGANISHI...ili watu wachinjane kwa chuki za kurogana!!!Spika huyu ni BOMU haijawahi tokea tangu Tanzania ipate Uhuru. Mungu atunusuru na janga hili.
Ndugai alipokuwa huko India hakuanza kuzurula kwenye vyombo vya habari. Ni mazingira mawili tofauti unayoongelea.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kwa kuwa shambulio hilo mnataka lionekane ni la kisiasa na Lissu analitumia kuzunguka nchi za madmgharibi kujijenga kisiasa, hivyo hivyo matokeo ya uchunguzi yatawazika wengu kisiasa, ikiwa ni pamoja na Lissu mwenyewe.

SIASA ZA MAJITAKA zitaisha muda si mrefu na wengi watabaki midomo wazi.

Mwenye masikio haambiwi sikia wala mwenye macho haambiwi tazama. Yetu masikio na macho, nyie wenye midomo endeleeni kubwabwaja na kuvuvuzela kila kona ya nchi, mitandaoni, vyombo vya habari na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bana matako unatoa harufu mbaya... malimbukeni wenye shahada nyie
 
Kiukweli nimeiona ile clip ya mbunge joseph kasheku alimaarufu Msukuma na speeker Job ndugai nikatafakali weee na nikayakumbuka ya majadiliano ya VOA jana ha ha haaa nikajikuta bakumbuka hoja ya waziri wetu wa mambo ya ndani kuwa kuna watu wanakimbia kesi ghafla nikapitiwa na kausingizi si nikaota mbowe na matiko wameachiwa duuu nikashituka maraa kufungua redio labda kupoteza mawazo kidogo duuu nikasikia leo tena VOA kutakuwa hakutoshi tena leo kutakuwa ni kiswahili kwakwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa inaonekana linapokuja suala la Lisu hakuna anayetumia akili. Kila mtu anakurupuka ili kumfurahisha bwana mkubwa
 
Wanapata wapi uwezo huo ,Ndugai na Jiwe pesa hizo sio za kwao ni za watanzania .
 
Kama kweli mshahara wa Tundu Lisu utazuiliwa baada ya mbunge huyo kumaliza tu mahojiano luningani yaliyomshirikisha pia mwakilishi wa Rais balozi Masilingi, basi bungeni labda kuna mambo hayako sawa.

Siamini kama Katibu wa bunge anaona huu ni wakati muafaka wa kusimamisha mshahara wa Lisu kwa sababu hii inampa uwanja mkubwa Tundu kwa kumuongezea vitu vipya vya kuongea.

Lakini sioni sababu za msingi za kuutangazia umma pale mshahara wa mnunge au mtumishi unaposimamishwa kwa sababu yoyote ile.

Zitto aliwahi kufukuzwa bungeni wakati wa Buzwagi na ndio akazidi kuwa maarufu.

Tusifanye maamuzi kwa jazba na kisiasa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hauna jinsi unaweza kuwashauri? Inaonekana wamefikia mwisho wao wa kufikiri
 
Back
Top Bottom