Kanyigoboy
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 529
- 1,316
Na hapo ndio wanapompa kiki.Hizi kauli uchwara zinambeba sana Lisu, wao wanadhani wanamtisha kumbe ndio kwanza wanachochea kuni. Kama ulivyosema ni kuamka asubuh tunasikia kafutwa Ubunge biashara kwisha. Hizi kelele za mara tumemlipa lisu mara lisu kaondoka na dereva kwa saizi hazina maana.NI MAAMUZI MAGUMU TU,FUTA UBUNGE WAKE.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mbona ueleweki utaki kujibu maswali nayokuuliza ila wewe unataka ujibiwe lissu ajawafundisha jinsi ya kujibu maswali?We unawajua waliogoma kumpa stahiki zake za matibabu bwana Lissu?
ukiamua kujitoa ufahamu unaandika pumba tu kutetea buku 7. Mkuu jaribu kushirikisha ubongoMpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Aliyetoa zile CCTV hakuwafundisha namna gani mje mjitetee kwny public?Mbona ueleweki utaki kujibu maswali nayokuuliza ila wewe unataka ujibiwe lissu ajawafundisha jinsi ya kujibu maswali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe alimuokoa mungu basi awashatakie kwa mwenyezi sio analia lia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wana roho mbaya Duniani sijawai kuona alafu watu kama hao juma pili wako kanisani au ijumaa wako msikitini
Kina Ndugai na wenzie wanaoongoza mihimili mingine wamekosa ushauri mzuri wa kuendesha mihimili hiyo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hana cha kumliza interview zote za nini au leo kuja kugombea urais wakati mwenye chama yupoHana cha kumliza yeye anasema kilichomkuta baada ya maagizo ya jiwe.
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Kama hana cha kumliza interview zote za nini au leo kuja kugombea urais wakati mwenye chama yupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo sahihiMpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Hiyo kazi waachie madaktari,kwani umeambiwa anatibiwa mdomo?.Hayo matibabu yanafanyika kwenye interviews za TV mbali mbali kwenye miji na nchi tofauti?
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ajavunja sheria ila njaa zinamsababisha kwenda kulia lia ughaibuni ila usijadanganye kwamba atampiga chini mwenye chama.Interview Ni haki yake kwani kavunja sheria gani? Kugombea uraisi ni uamuzi wake huyo mwenye chama hawezi kumzuia kugombea urais kwani sio lazima agombee kupitia cdm. Kwani Lowassa alipotaka urais na kukosa nafasi akiwa ccm ndio alikosa pengine pa kugombea?
Hii ni taarifa ninayompa Job Ndugai na wengine wote wenye mawazo mgando kama yake , kwamba huyu Tundu Lissu mliyeamua kumnyang'anya mshahara ( na zipo taarifa kwamba wiki ijayo mnamnyang'anya ubunge ) hana njaa wala tamaa ya hela taslimu , Lissu amehudumia kesi za wateja wake mahakamani kwa kipindi kirefu , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba almost 95% amezihudumia kwa gharama ya bure kabisa huku akiwalipia mpaka nauli ya kwenda na kurudi mahakamani wateja wake hao
Lissu ambaye gharama za matibabu yake zinazidi mshahara ambao Job Ndugai ataupata tangu alipoanza kazi hadi atakapostaafu , kwa sasa ni Mtu wa kimataifa hawezi kamwe kudhalilika kwa kunyimwa mshahara unaolipwa kwa hela za madafu , hivyo basi juhudi zozote kutoka kwa watu walioshindwa kumuua kwa risasi mabomu na uchawi hazitamkwamisha Mh Lissu , na zimeshindwa hata kabla ya kuanza , sana sana zinazidi kulidhalilisha bunge la Tanzania na kuondoa mashaka juu ya fikra kwamba linatumika na kutumikishwa na serikali , Matendo na kauli za Ndugai kuhusu Lissu ni sawa na kujionyesha yeye mwenyewe kwenye uso wa dunia kwamba hana utu na wala hajawahi kuwa nao , huyu Musukuma mtu aliyefeli darasa la 7 kutoa mwongozo ni kukamilisha mchakato wa kibunge kwa matakwa ya Ndugai