Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Sasa yote ya nini kama haili popote, so mpotezee tu?
 
Mshahara analipwa mtu ambaye yupo kazini au nje ya kazi kwa sababu za msingi na kwa taarifa kwa anayemlipa mshahara.

Ni kweli Lissu inafahamika alipatwa na tukio la kinyama sana la kupigwa risasi ila haipendezi kusikia kuwa chama chake kwa niaba ya mhusika kilishindwa kumpa spika taarifa rasmi pamoja na taarifa za madaktari juu ya maendeleo ya Lissu alipo kwa ajili ya matibabu.

Kingine, kwa sasa Lissu ameonekana kuimarika kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kumpa neema ya uhai. Hivyo ikiwa amepewa muda wa kuwa nje ya hospital ilikuwa ni busara kwa Mhe Lissu kurejea nchini kwa ajili ya kuonana na familia yake, jamaa na marafiki zake kubwa zaidi wananchi waliompa ridhaa ya kuwawakilisha bungeni pamoja na wasamaria wema waliomchangia matibabu.

Angefika kusema asante, angefika angalau kwa muda huu mchache aendelee na uwakilishi wa wananchi wenzake pale bungeni mpaka hapo atakapohitajika kurejea hospitalini. Kinyume chake ameamua kufanya ziara za kuishutumu, kuishambulia na kuharibu taswira ya serikali yetu ya Tanzania katika nchi Ulaya na Marekani. Jambo hili halina afya kwake wala kwa chama chake.

Ni hatari kukubali kuichafua nchi yako sababu unalipwa au unataka kupata ushawishi kwa wananchi walio wengi. Huku ni kukosa uzalendo.

Namalizia kwa kushauri, dereva wake bado ni shahidi namba moja ambaye anaweza kulisaidia jeshi la polisi taarifa za msingi juu ya tukio hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nahisi siku Tundu akirudi Tz, wale mahasimu na maadui zake watamalizia pale walipoishia.
 
Ajavunja sheria ila njaa zinamsababisha kwenda kulia lia ughaibuni ila usijadanganye kwamba atampiga chini mwenye chama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taarifa yako Lissu alikua NCCR, cdm kitu gani bwana. Yeye mtaji wake ni watu, chama ni koti tu anaweza kulivua wakati wowote.
 
Mshahara analipwa mtu ambaye yupo kazini au nje ya kazi kwa sababu za msingi na kwa taarifa kwa anayemlipa mshahara.

Ni kweli Lissu inafahamika alipatwa na tukio la kinyama sana la kupigwa risasi ila haipendezi kusikia kuwa chama chake kwa niaba ya mhusika kilishindwa kumpa spika taarifa rasmi pamoja na taarifa za madaktari juu ya maendeleo ya Lissu alipo kwa ajili ya matibabu.

Kingine, kwa sasa Lissu ameonekana kuimarika kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kumpa neema ya uhai. Hivyo ikiwa amepewa muda wa kuwa nje ya hospital ilikuwa ni busara kwa Mhe Lissu kurejea nchini kwa ajili ya kuonana na familia yake, jamaa na marafiki zake kubwa zaidi wananchi waliompa ridhaa ya kuwawakilisha bungeni pamoja na wasamaria wema waliomchangia matibabu.

Angefika kusema asante, angefika angalau kwa muda huu mchache aendelee na uwakilishi wa wananchi wenzake pale bungeni mpaka hapo atakapohitajika kurejea hospitalini. Kinyume chake ameamua kufanya ziara za kuishutumu, kuishambulia na kuharibu taswira ya serikali yetu ya Tanzania katika nchi Ulaya na Marekani. Jambo hili halina afya kwake wala kwa chama chake.

Ni hatari kukubali kuichafua nchi yako sababu unalipwa au unataka kupata ushawishi kwa wananchi walio wengi. Huku ni kukosa uzalendo.

Namalizia kwa kushauri, dereva wake bado ni shahidi namba moja ambaye anaweza kulisaidia jeshi la polisi taarifa za msingi juu ya tukio hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye anaichafua nchi, alichofanyiwa ni usafi kwa nchi? shahidi namba moja ni muathirika siyo dereva, atarudi akiwa tayari siyo kwa shinikizo mana hukumpeleka wewe. usijiite sauti ya mnyonge huo ni unafiki.
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Umesahau kitu kumoja. Waliumizwa sana kiasi cha kupiga marufuku maombi ya kumuombea apone.
 
Ndugai nakutabiria kabla Wewe na Jiwe hamjaondoka ulimwenguni kabla bashite hajaiendea nyumba ya milele mtahitaji msaada wa TL Kama vile mgonjwa aliyekaukiwa damu. Mkifa swali la kwanza kuulizwa litakuwa juu ya Lisu huko mwendako, wanaowaunga mkono watakuwa wa kwanza kuwalaumu wewe Bashite na Jiwe kwa ukatili dhidi ya Lisu. Kuna siku huyu Lisu atajitangaza Raisi na ataungwa mkono na mabeberu Kisha ataamua hatma yenu. Time will tell
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Nyie si ndo mlisema hamuwezi kubishana na mgonjwa .... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Dad; huyo mzee hakuwa mzembe kama tobo kisu ambaye kaamua kufanya TV uwanja wa kuonesha uzembe wake.

Watu wana matatizo zaidi yake na wametulia kupambana nayo.

Sasa huyu jamaa anataka matatizo yake yawe ya kila mtu, jambo ambalo halitawezekana na sio sawa kabisa.

Adeal na matatizo yake aache kusumbua watu.

Ukimwangalia vyema anahitaji msaada wa kisaikolokijia zaidi sana ya kuwa Rais.
Huyo wa kwenu ndiyo anahitaji msaada zaidi kuliko waliopo milembe
Mmezoea kuburuzwa kama mbuzi mnaona kila kitu ni cha kawaida
Lissu yupo smart kuliko viongozi wenu uchwara
Angalieni balozi wenu hata ukiambiwa ni lawyer unaangalia mara mbili kuwa alisoma shule au alihudhuria madarasa
Let the guy talk ndio therapy yenyewe
Ni sawa na mtu akienda window shopping ni best therapy
Therapy sio lazima uende kwa facility
Get this into your brain!
 
ziara/matembezi anayoyafanya ni sehemu ya matibabu inasaidia kumuondolea kumbukumbu ya tukio baya lililowahi kumkuta nadhani kuliko matukio yote aliyowahi kukutananayo tangu anazaliwa.
hajaathirika kimwili tu adi psychologicaly hatakua vizuri ata kama angerudi tz sidhani kama angeingia kazini rasmi kwa sasa bado angeendelea tu kuwa nyumbani na kuhudhuria cliniczake kwaiyo kumsitishia mshahara wake si jambo lakiungwana kabisa.
 
Mshahara analipwa mtu ambaye yupo kazini au nje ya kazi kwa sababu za msingi na kwa taarifa kwa anayemlipa mshahara.

Ni kweli Lissu inafahamika alipatwa na tukio la kinyama sana la kupigwa risasi ila haipendezi kusikia kuwa chama chake kwa niaba ya mhusika kilishindwa kumpa spika taarifa rasmi pamoja na taarifa za madaktari juu ya maendeleo ya Lissu alipo kwa ajili ya matibabu.

Kingine, kwa sasa Lissu ameonekana kuimarika kwa kiasi kikubwa, jambo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kumshukuru Mungu kwa kuendelea kumpa neema ya uhai. Hivyo ikiwa amepewa muda wa kuwa nje ya hospital ilikuwa ni busara kwa Mhe Lissu kurejea nchini kwa ajili ya kuonana na familia yake, jamaa na marafiki zake kubwa zaidi wananchi waliompa ridhaa ya kuwawakilisha bungeni pamoja na wasamaria wema waliomchangia matibabu.

Angefika kusema asante, angefika angalau kwa muda huu mchache aendelee na uwakilishi wa wananchi wenzake pale bungeni mpaka hapo atakapohitajika kurejea hospitalini. Kinyume chake ameamua kufanya ziara za kuishutumu, kuishambulia na kuharibu taswira ya serikali yetu ya Tanzania katika nchi Ulaya na Marekani. Jambo hili halina afya kwake wala kwa chama chake.

Ni hatari kukubali kuichafua nchi yako sababu unalipwa au unataka kupata ushawishi kwa wananchi walio wengi. Huku ni kukosa uzalendo.

Namalizia kwa kushauri, dereva wake bado ni shahidi namba moja ambaye anaweza kulisaidia jeshi la polisi taarifa za msingi juu ya tukio hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikupongeze kwa kuongea kwa busara hata kama kuna unafiki ndani yake. Kutembea sehemu mbalimbali ni haki yake na hilo halimaanishi kamaliza matibabu yake. Dunia ya sasa sio lazima umtembelee mtu uso kwa uso kwani kuna njia nyingi za kuwasiliana. Wenye nia njema na yeye tumeridhika yeye kupona, na hata asipotushukuru kupona tu ni shukran kwetu. Spika angetaka kujua hali yake angemtembelea hata hospitalini, acha spika aendelee kusujudia nguvu za binadamu, Lissu hahitaji fadhila za spika.

Hilo bunge unanalotaja aje kwa sasa ni kikundi cha makondoo wanaofuata na kutii chochote akitakacho mkulu, hivyo hana muda wa kuja kupoteza. Hakuna popote Lissu alipomchagua nchi bali anaishia serikali iliyoshindwa kutekeleza wajibu wake, kwa maoni haya inaonekana ww ni bendera fuata upepo. Utaratibu wa kumhoji Lissu uko wazi sio kwa kumuita kwenye polisi hawa wasio na weledi.
 
Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi

Tulieni kwanza Dawa iwaingie vizuri....
 
Maagizo toka juu ,Aisee Ndugai una kazi , kila Siku kupokea maagizo yasiyo na kichwa wala miguu mpaka 2020 utapauka kweli kwa uzee.
 
Back
Top Bottom