Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Sasa yote ya nini kama haili popote, so mpotezee tu?
 

Nahisi siku Tundu akirudi Tz, wale mahasimu na maadui zake watamalizia pale walipoishia.
 
Ajavunja sheria ila njaa zinamsababisha kwenda kulia lia ughaibuni ila usijadanganye kwamba atampiga chini mwenye chama.



Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa taarifa yako Lissu alikua NCCR, cdm kitu gani bwana. Yeye mtaji wake ni watu, chama ni koti tu anaweza kulivua wakati wowote.
 

Yeye anaichafua nchi, alichofanyiwa ni usafi kwa nchi? shahidi namba moja ni muathirika siyo dereva, atarudi akiwa tayari siyo kwa shinikizo mana hukumpeleka wewe. usijiite sauti ya mnyonge huo ni unafiki.
 
Umesahau kitu kumoja. Waliumizwa sana kiasi cha kupiga marufuku maombi ya kumuombea apone.
 
Ndugai nakutabiria kabla Wewe na Jiwe hamjaondoka ulimwenguni kabla bashite hajaiendea nyumba ya milele mtahitaji msaada wa TL Kama vile mgonjwa aliyekaukiwa damu. Mkifa swali la kwanza kuulizwa litakuwa juu ya Lisu huko mwendako, wanaowaunga mkono watakuwa wa kwanza kuwalaumu wewe Bashite na Jiwe kwa ukatili dhidi ya Lisu. Kuna siku huyu Lisu atajitangaza Raisi na ataungwa mkono na mabeberu Kisha ataamua hatma yenu. Time will tell
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
Nyie si ndo mlisema hamuwezi kubishana na mgonjwa .... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa kwenu ndiyo anahitaji msaada zaidi kuliko waliopo milembe
Mmezoea kuburuzwa kama mbuzi mnaona kila kitu ni cha kawaida
Lissu yupo smart kuliko viongozi wenu uchwara
Angalieni balozi wenu hata ukiambiwa ni lawyer unaangalia mara mbili kuwa alisoma shule au alihudhuria madarasa
Let the guy talk ndio therapy yenyewe
Ni sawa na mtu akienda window shopping ni best therapy
Therapy sio lazima uende kwa facility
Get this into your brain!
 
ziara/matembezi anayoyafanya ni sehemu ya matibabu inasaidia kumuondolea kumbukumbu ya tukio baya lililowahi kumkuta nadhani kuliko matukio yote aliyowahi kukutananayo tangu anazaliwa.
hajaathirika kimwili tu adi psychologicaly hatakua vizuri ata kama angerudi tz sidhani kama angeingia kazini rasmi kwa sasa bado angeendelea tu kuwa nyumbani na kuhudhuria cliniczake kwaiyo kumsitishia mshahara wake si jambo lakiungwana kabisa.
 

Nikupongeze kwa kuongea kwa busara hata kama kuna unafiki ndani yake. Kutembea sehemu mbalimbali ni haki yake na hilo halimaanishi kamaliza matibabu yake. Dunia ya sasa sio lazima umtembelee mtu uso kwa uso kwani kuna njia nyingi za kuwasiliana. Wenye nia njema na yeye tumeridhika yeye kupona, na hata asipotushukuru kupona tu ni shukran kwetu. Spika angetaka kujua hali yake angemtembelea hata hospitalini, acha spika aendelee kusujudia nguvu za binadamu, Lissu hahitaji fadhila za spika.

Hilo bunge unanalotaja aje kwa sasa ni kikundi cha makondoo wanaofuata na kutii chochote akitakacho mkulu, hivyo hana muda wa kuja kupoteza. Hakuna popote Lissu alipomchagua nchi bali anaishia serikali iliyoshindwa kutekeleza wajibu wake, kwa maoni haya inaonekana ww ni bendera fuata upepo. Utaratibu wa kumhoji Lissu uko wazi sio kwa kumuita kwenye polisi hawa wasio na weledi.
 


Tulieni kwanza Dawa iwaingie vizuri....
 
Maagizo toka juu ,Aisee Ndugai una kazi , kila Siku kupokea maagizo yasiyo na kichwa wala miguu mpaka 2020 utapauka kweli kwa uzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…