Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

CCTV CAMERA ZAONDOLEWA ENEO LA TUKIO UKAKAA KIMYA

MATIBABU YAKE UKAKAA KIMYA

UGONJWA WAKE UKAKAA KIMYA

UZIMA WAKE UKAKUFANYA UANZE KUMSEMA

KUONGEA KWAKE KUKAKERA UKATAMANI UMFUTE UBUNGE NA MSHAHARA

ANGEKUFA UNGELIPWA WEWE MISHAHARA YAKE? UNGEENDA KUWA MBUNGE JIMBONI KWAKE? UNGEONGEZEWA MSHAHARA?UNGEONGEZEWA SIKU ZA KUISHI?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumkubali huyu spika muda wote anajipendekeza kwa Jiwe ili achaguliwe kugombea tena uspika na kusahau maslahi ya taifa. He is worst Speaker of Parliament ever
 

Uhaini ni kosa la jinai, kwa tafsiri nyepesi ina maana kwamba ni kosa kubwa ambalo mtu analifanya dhidi ya nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti, mfano wa watu wasaliti wanaojulikana duniani ni Yuda ambaye kidini alimsaliti Yesu, mwingine ni Benedict Anold huyu jamaa aliisaliti nchi yake ya Marekani dhidi ya Mbritishi, wengine ni Vidkun Quisling, na Marshall Pe’tain.

Kisheria ukubwa wa kosa hupimwa kwa adhabu yake, kosa likiwa kubwa mtuhumiwa hutumikia adhabu kubwa vivyo hivyo kosa likiwa dogo mtuhumiwa huadhibiwa kiasi.

Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.

Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais, kumwondolea Rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali, kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama kwa makosa haya na yale yaliyotajwa hapo juu mtu wa namna hiyo atakuwa ametenda kosa la jinai ambalo ni kosa la uhaini

Aidha ifahamike kuwa kwa mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kutenda kosa la uhaini adhabu yake ni kifo na sheria hiyo ya kifo imeelezwa katika kifungu cha sheria namba 39 na 40 cha kanuni za adhabu.

Hivyo watanzania kwa umoja wetu tunapaswa kuzijua sheria za nchi yetu ili kuweza kujiepusha kutenda makosa ya uhaini dhidi ya nchi yetu.

Kwa Hisani ya Mpekuzihuru.
 
Haya yangependeza ungeyasema mkiwa mmekaa meza moja na Lissu CNN au Aljazeera vingevyo uwe unayaongea na mke wako nyumbani.
 
Halafu u must be a gay, 69 means you are versetaile..
 
Halafu u must be a gay, 69 means you are versetaile..
You must be one of those Ninjas on the Down Low to know that kind of ish. To me 69 means the year that my beloved Gradpa passed away.
Uncircumcised baboon at your level best.
Pathetic!
 
You must be one of those Ninjas on the Down Low to know that kind of ish. To me 69 means the year that my beloved Gradpa passed away.
Uncircumcised baboon at your level best.
Pathetic!
Huna lolote mjaluo mmoja mpuuzi, ndio maana hurefuki!
 
Huna lolote mjaluo mmoja mpuuzi, ndio maana hurefuki!
Hii battle inanigusa hadi mimi.

Nikiwa kama mwakilishi wa SPU (Short People United) naomba utengue kauli ya kwamba huyo bwana harefuki kisa ujinga.

Kauli hiyo inamaanisha kua sisi vijeba hatuna akili ndiyo maana tupo hivi. Wakati hayo ni maumbile ya Mungu.

Ndimi Castr Magige,
Mwakilishi Kanda ya Pwani,
SPU (Short People United),
SLP 1254 Kisarawe,
 
You must be one of those Ninjas on the Down Low to know that kind of ish. To me 69 means the year that my beloved Gradpa passed away.
Uncircumcised baboon at your level best.
Pathetic!

Hii ni mbaya Zaidi ya huo uhaini.
 
yuko sahihi sidhani kama ziara anazofanya ni sehemu ya matibabu yake isitoshe amekuwa akizunguka ulaya huku bado analipwa posho na mshahara wa bure
 
Haha hahahah najua kwanini imekugusa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…